a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 611
- 993
naunga mkono.Futa hii mzeee jifunze kutunza usiri wa maongezi ya wawili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naunga mkono.Futa hii mzeee jifunze kutunza usiri wa maongezi ya wawili
Hii kama vile fursa, mtu unaeza amua kuwa dalali wa mapenzi......ukitafutia wachumba wanakupa percent yako.
Ngoja niandae plan nzuri.
Lolote liwakute 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mdomo huo
Dah namie nianze udalali humu jf nipige hata ten tenWatu wengi wanafanya hii.. instagram kuna wajanja wanapiga sana hela hasa za wanawake.
Mfano mtu anayejiita dokta ushauri yeye anakula sana elfu 20 za watu
Hii nzuri sanaaKwa sababu wenyewe walianza kwa kututenga sisi vijana wenzao kuanzia miaka ya 2014
Nasisi tukafanya kikao kizito Cha maamuzi tukaamua tuwaache waendelee ku mingle na hao ma suger daddy, sponsor.,mbabu wangu.
Kwenye kikao tuliazimia kwamba
1) tukatae ndoa
2) tutafute pesa,
3) tulinde furaha yetu
4) tuliende amani ya mioyo yetu kwanza kwa sababu hizi pig zipo tu.
Kuanzia mwaka 2023 wameanza kurudi kwenye mstari wanatuita chibaba wangu,
Sisi misimamo wetu ni uleule
😂 kumbe wanalalaga na mbwaLolote liwakute ...wao sii walikuwa wanatuita mbwa
Naweza kuwa mteja wako namba moja mkuu, tafuta kabinti kakaliiiiiiiii, kajobless tuungane katika upambanaji.Hii kama vile fursa, mtu unaeza amua kuwa dalali wa mapenzi......ukitafutia wachumba wanakupa percent yako.
Ngoja niandae plan nzuri.