Hakuna Kazi ngumu kwa wanawake kama Kupata Mume au mtu wa kuishi naye katika majiji makubwa

Hakuna Kazi ngumu kwa wanawake kama Kupata Mume au mtu wa kuishi naye katika majiji makubwa

Uliyosema ni ya kweli si kwenye majiji peke yake bali kote nchini wanawake wanaohitaji kuolewa ni wengi ila waoaji ndo hamna. Yaani siku hizi uhitaji wa kuolewa ni mkubwa kuliko uhitaji wa kuoa. Kuna jamaa alitangaza anatafta mke yaani kila siku anatumiwa picha za wadada ambao wako tayari tena waje kwa nauli yao ye asitoe hata sh mia wengine wanamuahidi kumwongezea mtaji kwenye biashara zake.
 
Bidhaa adimu hutafutwa popote ilipo.
Wanawake wengi wa sasa wanajirahisi sana ndomana hata kuoa ni kugumu, farasi ukishampanda......
Naamini wanawake wakija na mkakati kwamba hakuna kumpa mwili mwanaume asiyefunga ndoa naye, wanaume wengi sana wataoa.
 
Kwa sababu wenyewe walianza kwa kututenga sisi vijana wenzao kuanzia miaka ya 2014
Nasisi tukafanya kikao kizito Cha maamuzi tukaamua tuwaache waendelee ku mingle na hao ma suger daddy, sponsor.,mbabu wangu.
Kwenye kikao tuliazimia kwamba
1) tukatae ndoa
2) tutafute pesa,
3) tulinde furaha yetu
4) tuliende amani ya mioyo yetu kwanza kwa sababu hizi pig zipo tu.

Kuanzia mwaka 2023 wameanza kurudi kwenye mstari wanatuita chibaba wangu,
Sisi misimamo wetu ni uleule
Hii nzuri sanaa
 
Back
Top Bottom