Hakuna Kazi ngumu kwa wanawake kama Kupata Mume au mtu wa kuishi naye katika majiji makubwa

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Kwema Wakuu!

Wanawake wanapitia Kipindi kigumu Sana katika zama hizi.

Ukiachana na ambao walisoma na wakapata bahati ya kuajiriwa, waliobaki wanapitia ubatizo wa Moto Mkali Sana.

Hakuna kwenye hii dunia mwanamke anayependa kufanya Kazi za utafutaji hasa hizi Kazi za kubangaiza zisizo na uhakika.

Jua Kali njaa Kali.

Vijana hapa Mjini hawataki kuoa. Hata hata kuishi na mwanamke pia hawataki.

Vijana wa sasa wanataka kila mtu awe na Ghetto lake. Yaani mwanamke uwe na Ghetto lako na mwanaume awe na Ghetto lake. Mkihitajiana kingono mnakutana. Mnamalizana.

Hapa Mjini asilimia 80 ya vijana wenye Miaka Kati ya 27-35 hawajaoa na hawaishi na wanawake. Wakati huo ndio umri ambao wanawake wanahitaji wanaume wa kuwaoa.

Ukifuatilia nyumba nyingi za kupanga asilimia kubwa wanawake wanaishi kibachela na wanaume nao wanaishi kibachela.

Ni aidha ukute single mothers au ukute wanawake wanaoishi zaidi ya watatu chumba kimoja.

Hakuna Kazi ngumu kwa mwanamke mwenye uhitaji wa ndoa kama Kupata mwanaume jijini Dar es salaam na miji Mingine.

Vijana huwaleta mabinti kwenye maghetto Yao kisha huishi nao kwa wiki mbili au miezi kadhaa kisha huachana. Hivyohivyo.

Hii hupelekea wadada wengi kubeba Mimba za vijana Kisha kutelekezwa.

Kama hiyo haitoshi, mabinti wengi wa chuo huishi kinyumba na vijana lakini mwishowe huachana hasa baada ya masomo ya Chuo kuosha.

Kwa sio wenye macho tunatarajia Hali kuzidi kuwa mbaya zaidi kwa upande wa wanawake kutokana na ukosefu wa ajira Rasmi licha ya kuwa wamesoma.

Wazazi ambao hawakujenga nyumba. Itawaathiri Sana mabinti nyakati hizi kwa sababu sioni kama watahimili vishindo vya utafutaji kama hawataolewa.

Kazi za vibarua zenye mishahara kidunchu, Kazi za professional kama ualimu na udaktari ambazo kwa sasa wanalipwa chini ya Laki tatu hata kama unadegree zinakuwa mwiba kumaliza tumaini walilokuwa wamebakiwa nalo.

Wanakuwa;
Jobless
No marriage
Single mother
Mwisho kabisa asiye uhakika wa sehemu ya kuishi

Mwenye nacho ashikilie
 
Kwa sababu wenyewe walianza kwa kututenga sisi vijana wenzao kuanzia miaka ya 2014
Nasisi tukafanya kikao kizito Cha maamuzi tukaamua tuwaache waendelee ku mingle na hao ma suger daddy, sponsor.,mbabu wangu.
Kwenye kikao tuliazimia kwamba
1) tukatae ndoa
2) tutafute pesa,
3) tulinde furaha yetu
4) tuliende amani ya mioyo yetu kwanza kwa sababu hizi pig zipo tu.

Kuanzia mwaka 2023 wameanza kurudi kwenye mstari wanatuita chibaba wangu,
Sisi misimamo wetu ni uleule
 
😃😃
 
Na mabinti wanazalishwa mapema sana, wazazi wengi wanaishi vyumba/nyumba za kupanga, binti ashamaliza form 4, mpango wa kuendelea na shule hamna, atafute kibarua ili ahame pale home maana mbanano ni mkubwa na yeye anaona aibu umri unaenda.

Ndo hayo mambo ya kupanga geto yanakuja, na kijana wa kiume akiona pisi ina geto baaasi anajua hapo ni ganda la ndizi.
 
Kwema Wakuu!

Wanawake wanapitia Kipindi kigumu Sana katika zama hizi.

Ukiachana na ambao walisoma na wakapata bahati ya kuajiriwa, waliobaki wanapitia ubatizo wa Moto Mkali Sana.

Hakuna kwenye hii dunia mwanamke anayependa kufanya Kazi za utafutaji hasa hizi Kazi za kubangaiza zisizo na uhakika.

Jua Kali njaa Kali.

Vijana hapa Mjini hawataki kuoa. Hata hata kuishi na mwanamke pia hawataki.

Vijana wa sasa wanataka kila mtu awe na Ghetto lake. Yaani mwanamke uwe na Ghetto lako na mwanaume awe na Ghetto lake. Mkihitajiana kingono mnakutana. Mnamalizana.

Hapa Mjini asilimia 80 ya vijana wenye Miaka Kati ya 27-35 hawajaoa na hawaishi na wanawake. Wakati huo ndio umri ambao wanawake wanahitaji wanaume wa kuwaoa.

Ukifuatilia nyumba nyingi za kupanga asilimia kubwa wanawake wanaishi kibachela na wanaume nao wanaishi kibachela.

Ni aidha ukute single mothers au ukute wanawake wanaoishi zaidi ya watatu chumba kimoja.

Hakuna Kazi ngumu kwa mwanamke mwenye uhitaji wa ndoa kama Kupata mwanaume jijini Dar es salaam na miji Mingine.

Vijana huwaleta mabinti kwenye maghetto Yao kisha huishi nao kwa wiki mbili au miezi kadhaa kisha huachana. Hivyohivyo.

Hii hupelekea wadada wengi kubeba Mimba za vijana Kisha kutelekezwa.

Kama hiyo haitoshi, mabinti wengi wa chuo huishi kinyumba na vijana lakini mwishowe huachana hasa baada ya masomo ya Chuo kuosha.

Kwa sio wenye macho tunatarajia Hali kuzidi kuwa mbaya zaidi kwa upande wa wanawake kutokana na ukosefu wa ajira Rasmi licha ya kuwa wamesoma.

Wazazi ambao hawakujenga nyumba. Itawaathiri Sana mabinti nyakati hizi kwa sababu sioni kama watahimili vishindo vya utafutaji kama hawataolewa.

Kazi za vibarua zenye mishahara kidunchu, Kazi za professional kama ualimu na udaktari ambazo kwa sasa wanalipwa chini ya Laki tatu hata kama unadegree zinakuwa mwiba kumaliza tumaini walilokuwa wamebakiwa nalo.

Wanakuwa;
Jobless
No marriage
Single mother
Mwisho kabisa asiye uhakika wa sehemu ya kuishi

Mwenye nacho ashikilie
Kazi kweli kweli
 
Sishangai maisha ni Magumu mno hapa mjini.

Imagine upate mtu wa
1.Kukulipia kodi na maradhi (Unaishi kwake)
2.Kukulipia chakula
3.Ukiumwa anakupeleka hospitali
4.Anakununulia nguo
5.Ukiwa na nyege anakutoa

Kwann wasijirahisishe, kwann wasikung'ang'anie
 
Back
Top Bottom