Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Wanawake wanapitia Kipindi kigumu Sana katika zama hizi.
Ukiachana na ambao walisoma na wakapata bahati ya kuajiriwa, waliobaki wanapitia ubatizo wa Moto Mkali Sana.
Hakuna kwenye hii dunia mwanamke anayependa kufanya Kazi za utafutaji hasa hizi Kazi za kubangaiza zisizo na uhakika.
Jua Kali njaa Kali.
Vijana hapa Mjini hawataki kuoa. Hata hata kuishi na mwanamke pia hawataki.
Vijana wa sasa wanataka kila mtu awe na Ghetto lake. Yaani mwanamke uwe na Ghetto lako na mwanaume awe na Ghetto lake. Mkihitajiana kingono mnakutana. Mnamalizana.
Hapa Mjini asilimia 80 ya vijana wenye Miaka Kati ya 27-35 hawajaoa na hawaishi na wanawake. Wakati huo ndio umri ambao wanawake wanahitaji wanaume wa kuwaoa.
Ukifuatilia nyumba nyingi za kupanga asilimia kubwa wanawake wanaishi kibachela na wanaume nao wanaishi kibachela.
Ni aidha ukute single mothers au ukute wanawake wanaoishi zaidi ya watatu chumba kimoja.
Hakuna Kazi ngumu kwa mwanamke mwenye uhitaji wa ndoa kama Kupata mwanaume jijini Dar es salaam na miji Mingine.
Vijana huwaleta mabinti kwenye maghetto Yao kisha huishi nao kwa wiki mbili au miezi kadhaa kisha huachana. Hivyohivyo.
Hii hupelekea wadada wengi kubeba Mimba za vijana Kisha kutelekezwa.
Kama hiyo haitoshi, mabinti wengi wa chuo huishi kinyumba na vijana lakini mwishowe huachana hasa baada ya masomo ya Chuo kuosha.
Kwa sio wenye macho tunatarajia Hali kuzidi kuwa mbaya zaidi kwa upande wa wanawake kutokana na ukosefu wa ajira Rasmi licha ya kuwa wamesoma.
Wazazi ambao hawakujenga nyumba. Itawaathiri Sana mabinti nyakati hizi kwa sababu sioni kama watahimili vishindo vya utafutaji kama hawataolewa.
Kazi za vibarua zenye mishahara kidunchu, Kazi za professional kama ualimu na udaktari ambazo kwa sasa wanalipwa chini ya Laki tatu hata kama unadegree zinakuwa mwiba kumaliza tumaini walilokuwa wamebakiwa nalo.
Wanakuwa;
Jobless
No marriage
Single mother
Mwisho kabisa asiye uhakika wa sehemu ya kuishi
Mwenye nacho ashikilie