Hakuna kifo kiliniumiza kama cha Magufuli

Hakuna kifo kiliniumiza kama cha Magufuli

Namaanisha hata Mungu anashuhudia!

Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!

R.I.P JPM.

R.I.P BABA.
nilifurahishwa sana na liletukio kwakweli watu tulikesha bar tunakula gambe
 
Ungemfuata maana na wengine waliumizwa na vifo na kupotea kwa wapendwa tegemezi wao
 
Makamu wake sijui kwanini moto huo haukupita kwake umwache huyu mzee wetu.
 
Back
Top Bottom