Hakuna kifo kiliniumiza kama cha Magufuli

Hakuna kifo kiliniumiza kama cha Magufuli

Namaanisha hata Mungu anashuhudia!

Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!

R.I.P JPM.

R.I.P BABA.
kwa kutaka bilion 9.9 za dhuluma kwa kutumia mahakama
 
Baada ya kufanya makubwa in a short time...na kutuonyesha kwamba inawezekana..sasa abaki kufanya nini?.. ila vyeti feki hamuwezi kumkubali
Mimi sio hizo kada zenu za vyetu feki and never will i, vyeti feki wengi waalimu ambao ni ccm, manesi ambao ni ccm, kwa kifupi yote yamo ndani ya chama chenu na ni watumishi wa serikali ya ccm na waliajiriwa na serikali ya ccm, mafisadi wote wabadhirifu wapo ndani ya serikali yenu na hawajawahi kuchukuliwa hatua, ripoti ya CAG mmenyamaza kama hamjaisikia mtadhani sio nyie yaani

The fact kwamba mtu ameshindwa kuheshimu utu na uhai wa wengine hata awe amefanya makubwa kiasi gani it counts nothing kwa sababu hakuna chenye thamani kama uhai, unaua, unateka, unanyanyasa halafu you have have the audacity ya kumuita kiongozi

Sifa ya kwanza ya kiongozi ni utu na ndugu yenu mwendazake aliikosa hiyo sifa, a president who kils his own people wakati ameapa kuwalinda watu wake, how do you justfy his leadeship
 
Jpm alibeba sauti za wanyonge, kauli zake zilibeba mamlaka.

Walimuua wakatoa maneno ya kejeli eti kafa kwa Covid-19.

Wakenda mbali wakasema wazuri hawafi!

Allah amenyakua mmojawapo! Jina lake lihimidiwe.

Bullshit!
Jpm alibeba sauti za wanyonge, kauli zake zilibeba mamlaka.

Walimuua wakatoa maneno ya kejeli eti kafa kwa Covid-19.

Wakenda mbali wakasema wazuri hawafi!

Allah amenyakua mmojawapo! Jina lake lihimidiwe.

Bullshit!
Alikuwa shetani maluuni
 
Mpaka Leo kabla sijalala ni lazima nisikilize baadhi ya hotuba zake hasa alipofungua "Magufuli stendi". Pumzika kwa amani Jembe letu.
 
Wewe hujui baba yako ni nani ndiyo maana ulimlilia Magufuli. Nyie watoto wa malaya, mama zenu wanadanga mnazaliwa na hamjawahi kuona baba. Ni UHAYAWANI kumlilia Magufuli kama kweli ulikuwa na baba na hukulia alipokufa.
Wewe kaulilie mzoga wako wa kachero ndio babako yule
 
Wewe kaulilie mzoga wako wa kachero ndio babako yule
Wala sina ushabiki na Membe hata siku moja. Nenda katafute post yangu yeyote ambayo nimewahi "kumfagilia" Membe.

Usidhani kwa kuwa namponda mungu wenu wa Chato Magufuli, ni automatically namkubali Membe. Hapana niko objective sana
 
Back
Top Bottom