Hakuna kifo kiliniumiza kama cha Magufuli

Hakuna kifo kiliniumiza kama cha Magufuli

Wanyonge gani?[emoji19]

Aliwafutia watu ajira zao kwa kigezo cha vyeti feki kibaya zaidi hakuwapa hata mia.
Alibomoa nyumba za kimara kisa wakaazi wake wengi wanatoka ile mikoa ya kaskazi.
Watu walikufa kwa presha ya kukosa makazi, walilala nje wakipigwa jua na kunyeshewa mvua.walingatwa na mbu na wadudu wengineo.
Leo masukuma yanakuja huku kumremba shetani yule.
Nyoko zao
 
Wewe ni mwanaume ama mwanamke?

Kama ni mwanaume basi matokeo ya sensa kuhusu idadi ya wanaume inabidi wewe upunguzwe upelekwe upande wa pili.
Anaitwa Lucy hilo si ni jina la kike?
 
Magufuli alihusikaje hapa? Kifo chacha wangwe pia Mbowe anahusika? Ili tuvae viatu vya mrs Wangwe.
Magufuli alitoa amri wauawe.
Kama syo mbona uchunguzi haukufanywa?
Mfugaji akiuawa mmoja tu kijiji alikofia kinafyekwa apatikane muuaji.
Ya mawazo,azroy,lisu saa 8,mbona hakuna hatua zozote?
 
Siwezi kusema nilifurahia ila niliona nimwanzo wa neema mpya.... Nakweli saivi nchi inaamani na umoja.... Lusi-fa nanduguze hapendi tuwe na AMANI na upendo lkn Mungu si asumaniii
 
Namaanisha hata Mungu anashuhudia!

Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!

R.I.P JPM.

R.I.P BABA.
Wewe hukuwa na nasaba na huyo unayedhani alikuwa ni baba yako. Kaa chini na mama yako akuonyeshe baba yako halisi
 
Wameanza mmoja mmoja kulipia...
Vile mlivyo wajinga, mbona yeye pia aliminya pumzi za watu na yeye akakufa? So yeye pia alianza kulipia mapema tena katika umri mdogo zaidi kuliko huyu?
Mmesahau wote waliodhurumiwa pumzi zao kipindi kile?
Mmesahau mlivyomtukana Lowasa mgonjwa matokeo yake waliomtukana wote wakatangulia wakifuatiwa na kubwa lao?
Au yeye ni mzima kuna mahala mmemficha?
 
Sukuma Gang Bana sasa Membe anahusikaje na kifo cha jiwe, Membe ni kati ya watu ambao walishapoteza mvuto kwenye siasa za nchi hii.
 
Sukuma Gang Bana sasa Membe anahusikaje na kifo cha jiwe, Membe ni kati ya watu ambao walishapoteza mvuto kwenye siasa za nchi hizi.
Wanatafuta kujifariji tu. Ndiyo hawahawa walikua wanashangilia maradhi ya Lowasa matokeo yake yakawakuta yaliyo wakuta kwa mtu wao kupigwa leo wanakuja kujifarajia kwenye kifo cha Membe
 
Zilianza kama tetesi siku nne kabla nilikataa kwa nguvu zote, alikuwa na makando kando yake sikatai, lakini kwa mara ya kwanza nilihisi kupata mshtuko, nilihisi joto, kizunguzungu na mwili kuishiwa nguvu, kutetemeka, Mzee wangu aligundua hilo akaniwahi kunishika.... Acha maisha yaendelee na aendelee kupumzika mahali pema peponi amina
 
Kitendo cha magufuli kutaka kumuua tundu lisu kumuua Ben rabiu saanane kumpoteza azory gwanda kuiba uchaguzi wa 2020 na 2019 kutaka kutesa na kuuwa watu kunafanya numuone magufuli katika sura ya shetani halisi mbwa yule ! Imagine uchaguzi wa serikali za mitaa eti wenyeviti 200000 laki mbili wa chadema walikuwa hawajui kusoma na kuandika lakini wa ccm 200000 walikuwa wanajua kusoma na kuandika.
 
Malaya wewe

Yule Mungu alijua mateso yetu hakutaka kuona tunakwenda kuteseka tena kwasababu ya hayawani mmoja tu.
 
Back
Top Bottom