Hakuna kifo kiliniumiza kama cha Magufuli

Hakuna kifo kiliniumiza kama cha Magufuli

Namaanisha hata Mungu anashuhudia!

Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!

R.I.P JPM.

R.I.P BABA.
Kuna mawe pale ikulu dodoma unaweza kua unalala juu ya mawe kumuenzi
 
Wana ccm mna matatizo, mnavyoshangilia kifo cha membe utadhani ni mpinzani wakati ni mbobezi kutoka chama lenu kabisa

Wafu wazike wafu wao, maisha yanaendelea

Waliofariki wapumzike wanapostahili na kila mmoja aonje hukumu sawa na matendo yake hapa duniani
Jpm usimfananishe na ccm
 
Aliyekufa kafa...
Sema kazana kumuombea tu awe kiongozi wa malaika huko mbinguni, na saizi yupo na Membe anatabu gani sasa!!!
[emoji2]
JamiiForums-1822901555.jpg
 
Namaanisha hata Mungu anashuhudia!

Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!

R.I.P JPM.

R.I.P BABA.
Kwa kuwa ulikua kimada wake kuumia lazma
 
Na leo kalale chooni kabisa tena choo
kile cha shimo unamokunyaga maji yanakurukia matakonni

Pumbovo mkumbwa


Baada ya uliyoandika haifanyi nibadili mtazamo wenu kuhusu huyo jamaa yenu
 
Mimi pia nilisikitika sana kwa msiba ule , taarifa ilinifikia yapata saa tano usiku nikiwa narudi toka kwny kibarua changu nikaamua kupitia bar ninywe chupa kadhaa kupunguza ule mshituko nikakuta mziki umezimwa na watu wakiwa wanatazama TV na wimbo wa taifa unaimbwa, huku baadhi ya wadada wakiwa wanalia , Apumzike kamanda sauti ya mwisho JPM.
We syo bashite kweli[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Wewe unaongea uongo kabisa kupoteza uhai wababa Yako sio rahisi wewe kwanza kuamini kuwa hayupo kifunguliwa jeneza ukamwona acha tu , pumzi unakosa , malaika wambinguni walinipa moyo kabisa sikuwa napumua japo hakuwa mzuri Wala kitabia ila kweli iliuma baba ambaye alikubembeleza pale umeshindwa jambo 🥲😪😪😪🥲🥲🥲 hujui tu hadi nilitoka njee ya kanisa nilikuwa huko nyuma hadi Saa yakuweka udongo acha tu usikumbushe watu machungu
 
Back
Top Bottom