Hakuna kifo kiliniumiza kama cha Magufuli

Hakuna kifo kiliniumiza kama cha Magufuli

Namaanisha hata Mungu anashuhudia!

Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!

R.I.P JPM.

R.I.P BABA.
Mimi Ile siku sikulala kabisa usingizi haukurudi tena Hadi asubuhi. Ila zile furaha za wanasiasa baadhi kunye Mitandao na kejeri juu ya kifo kile, zitafanya jereha kubwa Kwa Watanzania. RIP Membe. I'll ulikosea kusherekea kifo cha JPM.

Hata wachawi hawesherekea hadharani vifo vya watu waliowaua
 
Mimi pia nilisikitika sana kwa msiba ule , taarifa ilinifikia yapata saa tano usiku nikiwa narudi toka kwny kibarua changu nikaamua kupitia bar ninywe chupa kadhaa kupunguza ule mshituko nikakuta mziki umezimwa na watu wakiwa wanatazama TV na wimbo wa taifa unaimbwa, huku baadhi ya wadada wakiwa wanalia , Apumzike kamanda sauti ya mwisho JPM.
 
1683908168353.png
 
Namaanisha hata Mungu anashuhudia!

Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!

R.I.P JPM.

R.I.P BABA.
Wewe hujui baba yako ni nani ndiyo maana ulimlilia Magufuli. Nyie watoto wa malaya, mama zenu wanadanga mnazaliwa na hamjawahi kuona baba. Ni UHAYAWANI kumlilia Magufuli kama kweli ulikuwa na baba na hukulia alipokufa.
 
Jpm alibeba sauti za wanyonge, kauli zake zilibeba mamlaka.

Walimuua wakatoa maneno ya kejeli eti kafa kwa Covid-19.

Wakenda mbali wakasema wazuri hawafi!

Allah amenyakua mmojawapo! Jina lake lihimidiwe.

Bullshit!

Hayo unajua ww, alikuwa anafanyia watu ukatili akawa anajificha kwenye kichaka cha wanyonge. Yule alikuwa ni kiongozi muovu. Jizungushe utakavyo lakini habari ndio hiyo.
 
Namaanisha hata Mungu anashuhudia!

Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!

R.I.P JPM.

R.I.P BABA.
Nenda kamuulize mama yako akuonyeshe baba yako halisi. Huwezi kulialia hovyo kwa mtu ambaye huna DNA naye. Ni upimbi pia.

Kama Tanzania ndiyo watu tulio nao wako kama wewe hatuwezi kuendelea. Eti unamlilia DIKTETA Magufuli?? STUPID
 
Back
Top Bottom