Hakuna kifo kiliniumiza kama cha Magufuli

Hakuna kifo kiliniumiza kama cha Magufuli

Namaanisha hata Mungu anashuhudia!

Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!

R.I.P JPM.

R.I.P BABA.
Kila Mtanzania alihuzunika na kifo cha Magufuli kasoro wale wezi tu waliopo serikalini pamoja na vibaraka wao huku mitaani kwani walizoea wizi usiodhibitiwa. Magufuli was a true leader!
 
Namaanisha hata Mungu anashuhudia!

Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!

R.I.P JPM.

R.I.P BABA.
Wana ccm mna matatizo, mnavyoshangilia kifo cha membe utadhani ni mpinzani wakati ni mbobezi kutoka chama lenu kabisa

Wafu wazike wafu wao, maisha yanaendelea

Waliofariki wapumzike wanapostahili na kila mmoja aonje hukumu sawa na matendo yake hapa duniani
 
Namaanisha hata Mungu anashuhudia!

Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!

R.I.P JPM.

R.I.P BABA.
JPM ataendelea kuishi mioyoni mwa tulio wengi maana ni kazi zake ndio zinamshuhudia, kwa muda huo mfupi alifanikiwa kuwaonyesha watanzania tafasiri halisi ya neno RAIS
 
Namaanisha hata Mungu anashuhudia!

Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!

R.I.P JPM.

R.I.P BABA.
Hatamimi ninaumia sana mpaka leo, sababu niliona nchi yangu imepata dira ya mwangaza wa tunapo elekea kimaendeleo, ghafla daah.

It's pain a lote.

Pumzika kwa amani JPM tutakukumbuka milele.

Mungu akupe heri ya milele Amina.
 
Kumbe huyu Tindo ni NESI FEKI?

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Anataka mshahara wa UDANGANYIFU [emoji16]

Nimecheka kwa nguvu, eti cheti fake. Hata kama kweli ningekuwa cheti fake, kwangu ingekuwa sio tatizo maana sijawahi kuajiriwa na serikali, au mtu binafsi. Sasa hapo cheti fake au halali kingeingiaje?
 
Ukiangalia watu wengi unaowasikia walihuzunishwa sna ni watu ambao hawana muelekeo wa maisha, watu wenye wivu na chuki kwa maendeleo ya wenzao. Sasa mtajinyonga kwasababu mpaka 2030 mtateseka sana
Wewe hujui maisha ya watu humu acha ramli za kijinga, kamauna lala na njaa usifikiri kilamtu ni mganga njaa kama wewe.

We just cry for our national nothing else, stup...@
 
Hakuna siku niliyofurahi na kuumwagilia moyo kama siku lilipokufa lile dubwasha lenye kichwa chenye Kona Kona kama limao, yaani JPM.
 
Back
Top Bottom