Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,864
- 5,695
Kapimwe Akili milembe wengi wakiugua kichaa huonesha dalili za mwanzo kama wewe wahi mapema unaweza kupona.Namaanisha hata Mungu anashuhudia!
Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!
R.I.P JPM.
R.I.P BABA.