Hakuna kifo kiliniumiza kama cha Magufuli

Hakuna kifo kiliniumiza kama cha Magufuli

Jpm alibeba sauti za wanyonge, kauli zake zilibeba mamlaka.

Walimuua wakatoa maneno ya kejeli eti kafa kwa Covid-19.

Wakenda mbali wakasema wazuri hawafi!

Allah amenyakua mmojawapo! Jina lake lihimidiwe.

Bullshit!
Sijui watasema Nini kwa mzoga wao wa Sasa maana nasikia alishindwa kupumua na misindano Yao yote mwisho COVID-19 imesepa nae
 
Jpm alibeba sauti za wanyonge, kauli zake zilibeba mamlaka.

Walimuua wakatoa maneno ya kejeli eti kafa kwa Covid-19.

Wakenda mbali wakasema wazuri hawafi!

Allah amenyakua mmojawapo! Jina lake lihimidiwe.

Bullshit!

Akina nani walimuua?
Una ushahidi aliuwawa!?
 
YAANI SHETANI AFE NIUMIE? MIMI MAGUFULI ALIPOKUFA TULIKESHA NA POMBE JUU DADADEKI. SUKUMA GANG HOVYOOO
 
We mpumbavu unamuitaje Mgufuli baba? Ina maana na wewe hujui baba yako? Yote mitoto ya malaya hii
We kenge mama Yako asingekuwa malaya ungezaliwa we mimba Yako ikipatikana vichakani kama hukuambiwa na Mimi ndo baba yako
 
Cheti feki unaumia ukiwa nyumbani baada ya kunyang'anywa tonge mdomoni.

Somesha watoto mzee, nani alikuambia usisome.
Hata Magufuli alikuwa na PhD Feki, hiyo siyo issue japo sona cheti feki
 
Namaanisha hata Mungu anashuhudia!

Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!

R.I.P JPM.

R.I.P BABA.
Mkuu inaonekana wakati Magu akikwapua ile mipesa ya watu bank wewe ulikuwa mmoja wa wanufaika.
 
Namaanisha hata Mungu anashuhudia!

Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!

R.I.P JPM.

R.I.P BABA.
Sasa haya ndio matatizo ya Akili sasa.
 
Magufuli alitoa amri wauawe.
Kama syo mbona uchunguzi haukufanywa?
Mfugaji akiuawa mmoja tu kijiji alikofia kinafyekwa apatikane muuaji.
Ya mawazo,azroy,lisu saa 8,mbona hakuna hatua zozote?
Daah kweli nchi hii ina vichaa wengi sana, alphonse mawazo alikufa magufuli akiwa madarakani? Yaani una chuki mpaka hujui unachosema?

Sasa hivi binti wa Udom amefariki na mpaka sasa utata wa kifo chake ni fumbo, je Rais aliyepo madarakani anahusika? Kila akipata matatizo mwanasiasa bas rais aliye madarakani anahusika?

Huyo tundu lisu alirudi kufanya kampeni JPM akiwa madarakani kuna aliyemgusa? Serikali yenye kila namna ya nguvu itashindwa kumuua mtu ikitaka?
Mbona hamsemi mauaji ya polisi wetu yaliyotokea MKIRU? Wengi mlishangilia vifo vyao, je wapinzani kufa na kupotea ndio iwe muhimu kuijadili kuliko raia wengine?
 
Namaanisha hata Mungu anashuhudia!

Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!

R.I.P JPM.

R.I.P BABA.
Hela ambazo baba yako alikusomeshea, angenunua punda, ingemsaidia kubebea mizigo
 
Namaanisha hata Mungu anashuhudia!

Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!

R.I.P JPM.

R.I.P BABA.
Huyo hakuwa baba yako,mama yako alichepuka.Usikute mimi ndiye baba yako halisi
 
Back
Top Bottom