Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 11,936 Reaction score 15,196 Oct 31, 2023 #181 Suzy Elias said: Namaanisha hata Mungu anashuhudia! Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli! R.I.P JPM. R.I.P BABA. Click to expand... nilifurahishwa sana na liletukio kwakweli watu tulikesha bar tunakula gambe
Suzy Elias said: Namaanisha hata Mungu anashuhudia! Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli! R.I.P JPM. R.I.P BABA. Click to expand... nilifurahishwa sana na liletukio kwakweli watu tulikesha bar tunakula gambe
nashicha JF-Expert Member Joined May 29, 2021 Posts 279 Reaction score 524 Nov 1, 2023 #182 Ungemfuata maana na wengine waliumizwa na vifo na kupotea kwa wapendwa tegemezi wao
peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Nov 1, 2023 #183 Makamu wake sijui kwanini moto huo haukupita kwake umwache huyu mzee wetu.