Waliogaagaa ni pasenti ngapi ya wasiogaagaa?Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko twita,wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu.
Lakini leo hii tumepata picha kamili,wazalendo,wamachinga,wakinamama tumeshudia wakilia na kugaagaa mabarabarani hii ni kwa sababu wanajua pengo lake litakuwa ngumu kuzibwa.
Mabaradhuli na mafedhuli mnapoteza muda maana nyie ni kama 1% ya wanaoichukia Tanzania. Maana 99% wanaipenda Tanzania na leo mmeshuhudia.
Nakubaliana na wewe Magufuli kama binadamu hakuwa mkamilifu. Kosa la Magufuli ni kuwa alipewa mamlaka asimamie haki sawa kwa raia wote. Yeye akatumia nafasi hiyo kuacha wengine waonewe, wengine wauliwe bila kuchukua hatua na kudhani yeye peke yake ndiye pekee mwenye kuweza kuiongoza nchi. (Na amewahi kuuliza kama yupo atakayeweza kufanya yale anayofanya)Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko twita,wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu.
Lakini leo hii tumepata picha kamili,wazalendo,wamachinga,wakinamama tumeshudia wakilia na kugaagaa mabarabarani hii ni kwa sababu wanajua pengo lake litakuwa ngumu kuzibwa.
Mabaradhuli na mafedhuli mnapoteza muda maana nyie ni kama 1% ya wanaoichukia Tanzania. Maana 99% wanaipenda Tanzania na leo mmeshuhudia.
Unapoteza mb na muda wako kupost ujinga. Kila mtu anahoji itakuwaje maana JPM ameondoka. Tumia akili hatanya kuazimaPole sana mleta mada, kuna wakati mlikuja hapa na kusema JPM ni zaidi ya Nyerere, nyie watu nyie, ona leo munalazimisha kwamba watu wanagaragara huko barabarani, sio kweli kwani katika pitapita zangu mpaka nafika hapa uwanja wa UHURU, wengine walienda barabarani kuona msafara kama ilivyokawaida yetu wabongo, mfano mzuri ni mimi ambaye nimejisikia tu kuja kuona yanayoendelea.
Tukirudi kwenye msiba wa Nyerere, sijui ulikuwa na umri gani lakini kwa macho yangu nilishuhudia pale Airport wanajeshi na askari polisi wakitokwa machozi kama watoto wadogo.
JPM apumzikie anapostahili, kaumaliza mwendo wake, ana mazuri yake japo naona mabaya yake hasa kutoka kwa nyie wapambe ndio mumemharibia zaidi.
Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko twita,wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu.
Lakini leo hii tumepata picha kamili,wazalendo,wamachinga,wakinamama tumeshudia wakilia na kugaagaa mabarabarani hii ni kwa sababu wanajua pengo lake litakuwa ngumu kuzibwa.
Mabaradhuli na mafedhuli mnapoteza muda maana nyie ni kama 1% ya wanaoichukia Tanzania. Maana 99% wanaipenda Tanzania na leo mmeshuhudia.
After two weeks utamkumbuka.Nakubaliana na wewe Magufuli kama binadamu hakuwa mkamilifu. Kosa la Magufuli ni kuwa alipewa mamlaka asimamie haki sawa kwa raia wote. Yeye akatumia nafasi hiyo kuacha wengine waonewe, wengine wauliwe bila kuchukua hatua na kudhani yeye peke yake ndiye pekee mwenye kuweza kuiongoza nchi. (Na amewahi kuuliza kama yupo atakayeweza kufanya yale anayofanya)
Sasa Mungu kamchukua ili aone kuwa wapo wengine watafanya kama yeye na zaidi bila hata kuonea na kusababisha maumivu kwa wengine.
Shida nyingine Magufuli kila alipofungua mdomo wake hakuwa mtu wa kuongea maneno ya faraja wala kuleta tumaini. Mara nyingi ametumia mdomo wake kukwaza watu na kutoa maneno ya kejeli na kuudhi. Cha kusikitisha zaidi hotuba yake ya mwisho mtaani akimwambia yule Trump wa aliyehoji kuhusu malipo ya choo maneni ambayo hayapaswi kutamkwa na kiongozi wa nchi hadharani
Siwezi kumkumbuka. Waliopo watakuwa viongozi bora kuliko yeye. Chorea mstari hii comment.After two weeks utamkumbuka.
Sijawahi kumkubali Magufuli na hata akiwa marehemu simkubali. Mimi nimekupa facts, plain and clearUnaleta ubishi wa kishamba, sitaki nataka.
Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko twita,wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu.
Lakini leo hii tumepata picha kamili,wazalendo,wamachtinga,wakinamama tumeshudia wakilia na kugaagaa mabarabarani hii ni kwa sababu wanajua pengo lake litakuwa ngumu kuzibwa.
Mabaradhuli na mafedhuli mnapoteza muda maana nyie ni kama 1% ya wanaoichukia Tanzania. Maana 99% wanaipenda Tanzania na leo mmeshuhudia.
Ujumbe wako hapa hasa ni upi,kumbuka ni muda wa maombolezo na sii muda wa siasa za migawanyiko.Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko twita,wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu.
Lakini leo hii tumepata picha kamili,wazalendo,wamachinga,wakinamama tumeshudia wakilia na kugaagaa mabarabarani hii ni kwa sababu wanajua pengo lake litakuwa ngumu kuzibwa.
Mabaradhuli na mafedhuli mnapoteza muda maana nyie ni kama 1% ya wanaoichukia Tanzania. Maana 99% wanaipenda Tanzania na leo mmeshuhudia.
Watu wanakumbuka vitu ama watu wa maana na sio vitu vya ajabu ajabu....After two weeks utamkumbuka.