Hakuna kiongozi au binadamu aliyekamilika, leo imedhihirika JPM alikuwa anakubalika kwa wanyonge na sio kwa mafisadi na matapeli ya kisiasa

Hakuna kiongozi au binadamu aliyekamilika, leo imedhihirika JPM alikuwa anakubalika kwa wanyonge na sio kwa mafisadi na matapeli ya kisiasa

Magufuli hakuwa Tanzania, na watu kujaa haimaanishi kuwa alikuwa mtu mwema. Unaweza kuwa maarufu na usiwe mtu mwema.
Ukiongea neno Wema,unaongea kuhusu NGUVU,na Neno Maarufu nayo ni Nguvu.Utofauti ni kwamba NGUVU ya wema wake kama ilikuwepo itaendelea kukaa ndani ya miyo ya watu na ni ngumu kuiondoa kwa sababu chanzo chake ni Kikuu sana,hakizuiwi na propaganda ya aina yeyote kama ilivyokuwa kwa Yesu Kristu alipofakufa.Ila Nguvu ya umaarufu itayeyuka tu pindi msiba utakapoisha hiyo inamaanisha chanzo cha hiyo nguvu ni artificial or manmade ambayo na wewe unaamini ndio ilimfunika.Ila Subiri baada ya Muda utarudi ushuhudie alikuwa amefunikwa na nguvu gani
 
Amka wewe tangu baada ya taarifa ya msiba, CCM imefanya utaratibu wa kubeba watu kwenye matawi huko mitaani kuwapanga na kuwapaleka Uwanjani kuaga.

Tabata Kisukuru, Maji Chumvi hadi migombani tangu jana usiku ni watu wanapewa taarifa ya kukusanyika asubuhi na vipesa na usafiri bure.
 
Magufuli hakuwa Tanzania, na watu kujaa haimaanishi kuwa alikuwa mtu mwema. Unaweza kuwa maarufu na usiwe mtu mwema.
hamtaki kukubaliana na mnachokiona sasa.

Mmemwomba Mungu amewajibu,bado hamna amani ya roho zenu maana ziko kinyume na mapenzi ya wengi.

na tunasema hivii mtaweweseka mpaka siku mnaingia kaburini.
 
Amka wewe tangu baada ya taarifa ya msiba, CCM imefanya utaratibu wa kubeba watu kwenye matawi huko mitaani kuwapanga na kuwapaleka Uwanjani kuaga.

Tabata Kisukuru, Maji Chumvi hadi migombani tangu jana usiku ni watu wanapewa taarifa ya kukusanyika asubuhi na vipesa na usafiri bure.
heee jamani.
 
Umeandika nini? Hakuwa Tanzania una maana gani? Mtu kama hakuwa mtu mwema watu wangemlilia leo?

Kuna mtu hajawahi kuliliwa akiwa amekufa ukiachia rekodi yake ya maisha? Ni nani amewahi kutokukubaliwa na watu wote?
 
Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko Twita, wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu.

Lakini leo hii tumepata picha kamili, wazalendo, wamachinga, wakinamama tumeshudia wakilia na kugaagaa mabarabarani hii ni kwa sababu wanajua pengo lake litakuwa ngumu kuzibwa.

Mabaradhuli na mafedhuli mnapoteza muda maana nyie ni kama 1% ya wanaoichukia Tanzania. Maana 99% wanaipenda Tanzania na leo mmeshuhudia.
Toa data
 
Amka wewe tangu baada ya taarifa ya msiba, CCM imefanya utaratibu wa kubeba watu kwenye matawi huko mitaani kuwapanga na kuwapaleka Uwanjani kuaga.

Tabata Kisukuru, Maji Chumvi hadi migombani tangu jana usiku ni watu wanapewa taarifa ya kukusanyika asubuhi na vipesa na usafiri bure.
Kwetu hku hvyo hvyo, icha za abiria zimekodiwa zimejaa raia kibao wenye jezi za kijani na kofia.
 
Kuna mtu hajawahi kuliliwa akiwa amekufa ukiachia rekodi yake ya maisha? Ni nani amewahi kutokukubaliwa na watu wote?
Hii post inaonyesha kuwa upo kundi la baradhuli na mafedhuli kufuata mkumbo tu.
 
Unapoteza mb na muda wako kupost ujinga. Kila mtu anahoji itakuwaje maana JPM ameondoka. Tumia akili hatanya kuazima
Itakuwaje kwani kabla yake ilikuwaje, mbona life lilikuwa linasonga fureshi tu. Acheni kumwabudu binadamu.
 
Hata usiangaike na hao wanafiki wafata mkumbo, hawanaga Hoja zaidi kuvizia Lisu kasema nini nayeye atembee nalo ukiamua kuwapa jina zuri basi waite wajinga wafata mkumbo.

Na kwa sababu ujinga wao umeota mizizi miilini mwao basi hujiona wako wengi pale wanapoona welevu wamekaa kimya.

Usishangae wajinga hawa kumkubali kikwete nyakati hizi na kusahau matapishi yao.

Basi vile vile usishangae kesho kuwasikia wajinga hawa wakisema tulijua tu huyu mama hawezi kuyaenzi aliyoacha mzee.
 
Nakubaliana na wewe Magufuli kama binadamu hakuwa mkamilifu. Kosa la Magufuli ni kuwa alipewa mamlaka asimamie haki sawa kwa raia wote. Yeye akatumia nafasi hiyo kuacha wengine waonewe, wengine wauliwe bila kuchukua hatua na kudhani yeye peke yake ndiye pekee mwenye kuweza kuiongoza nchi. (Na amewahi kuuliza kama yupo atakayeweza kufanya yale anayofanya)

Sasa Mungu kamchukua ili aone kuwa wapo wengine watafanya kama yeye na zaidi bila hata kuonea na kusababisha maumivu kwa wengine.

Shida nyingine Magufuli kila alipofungua mdomo wake hakuwa mtu wa kuongea maneno ya faraja wala kuleta tumaini. Mara nyingi ametumia mdomo wake kukwaza watu na kutoa maneno ya kejeli na kuudhi. Cha kusikitisha zaidi hotuba yake ya mwisho mtaani alimwambia yule bwana anayejiita "Trump" aliyehoji kuhusu malipo ya choo maneno ambayo hayapaswi kutamkwa na kiongozi wa nchi hadharani

Mimi kama binadamu mwenzake namwombea tu awe alitafuta amani na Mungu wake katika siku zake za mwisho. Na Mungu amsamehe na kumpa pumziko la milele
Umeandika vizuri mkuu bilashaka umewakilisha wengi
 
labda wewe mtoa mada na shangazi zako ndio mliokuwa mnagaagaa huko barabarani kwa wasiwasi wa kutoijua hatima yenu ya baadaye kwa kuukosa ulaji.Hao unaowaita wanyonge kama Jiwe wako ambaye ameshasagika,wana nini haswa?.
 
Unapoteza mb na muda wako kupost ujinga. Kila mtu anahoji itakuwaje maana JPM ameondoka. Tumia akili hatanya kuazima
Kwa akili zako unaandika upuuzi kweli eti kila mtu anahoji itakuwaje, kwani kabla ya yeye Nchi ilikuwaje, zaidi sana tulikuwa hatuna wapuuzi kama wewe, kila mtu alikuwa huru kutoa maoni, kushauri na kusikilizwa mwisho wa siku muafaka unafikiwa na maisha yanaendelea, leo mumemtukuza mtu kiasi cha kumuita Yesu na kujifanya akifa atakwenda kuwa kiongozi wa malaika, mtafute sasa umuulize anawaonaje malaika anaowaongoza?
 
Kila mtu anabaki na ukweli wake moyoni.

Na uadui wa mtu usikifanye nawe ukawa adui wa adui yake.
 
Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko Twita, wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu.

Lakini leo hii tumepata picha kamili, wazalendo, wamachinga, wakinamama tumeshudia wakilia na kugaagaa mabarabarani hii ni kwa sababu wanajua pengo lake litakuwa ngumu kuzibwa.

Mabaradhuli na mafedhuli mnapoteza muda maana nyie ni kama 1% ya wanaoichukia Tanzania. Maana 99% wanaipenda Tanzania na leo mmeshuhudia.
Huo upuuzi wa kuita wajinga wanyonge peleka hukohuko kwenu sio hapa
Watu wasioelewa umuhimu CAG kuhoji upotevu wa matrilioni/ kuzuiwa kipiga mahesabu migodini, bunge kuhoji ununuzi wa midege/ kujenga uwanja wa ndege n.k
Watu wasioelewa umuhimu wa mzunguko wa fedha
Watu wanaofurahia matajiri kuporwa mitaji, kufilisiwa, kunyanyaswa ili wafanane na wao kitu ambacho hakiwezekani
Watu hao ndo mnaita wanyonge, mnatumia udhaifu wa uelewa wao kushinda kisiasa. Nyinyi ni watu wabaya sana
Badilisheni mfumo wa elimu, shule za msingi watumie kiingereza Kama lugha ya kufundishia, alafu muone moto wake baada ya miaka kadhaa
 
Back
Top Bottom