Wahitimu wa vyuo hawapo na wewe, wamepata tumaini jipya huenda kutokuwepo kwake wao watapata ajira,hapo unasemaje?Unapoteza mb na muda wako kupost ujinga. Kila mtu anahoji itakuwaje maana JPM ameondoka. Tumia akili hatanya kuazima
Hao machinga waanze kutimuliwa barabarani hata leo kabla hata hatujapeleka msiba Dodoma.Nafikiri ufike muda watanzania walio wengi wajitambue na wafate sheria za nchi kama ilivyo, kisa wewe ni machinga umeruhusiwa kuziba njia kwa bidhaa zako isiwe sababu ya kuwaita watanzania wenzako fedhuli..mnakosea kwa sababu nyie hamfuati kanuni za miji mnafuata maagizo ya mtu binafsi balaa lake ndio hili mnaanza kulia lia kwa vile mwajua hakuna kiongozi mwenye weledi na uongozi atakaeruhusu machinga kupanga bidhaa barabarani.
Siyo wanyonge tu, hata mimi nisiyemnyonge siachi kufuta machozi na tupo wengi sana tuliohuzinishwa kwa kuondokewa na mtu aliyekuwa anarudisha tabasamu kwa wanyonge na kuwezesha tuendeshe magari yetu kwenye barabara zisizo na mashimo! Tukifuata huduma maofisini hatupotezewi muda!
Tukikaa home ama ofisini umeme haukatikikatiki! Nk. Hivyo Magu katugusa middle na high class pia!
Jicheki humo ndani 6a fuvu lako kama mna neurons au uporoto!
Jicheki humo ndani ya fuvu lako kama kuna neva au uporoto!
Nasema hivi, alikuwa ni mtu muovu fullstop.
Tumwpewa hela tukusanyike barabarani halafu tu-act kama tumeguswa sana na kifo. Kimsingi tulikuwa tunafanya FUTUHILakini leo hii tumepata picha kamili, wazalendo, wamachinga, wakinamama tumeshudia wakilia na kugaagaa
Mimi sio praise team ndio maana nimeandika mema yake na mabaya yake.Jibu unalo wema wake unaoutweigh mapungufu yake.
We kauzu kwelikweli! Nabaki kumuenzi na kudeal na makauzu! Hatuwezi tukawaacha mu'enjoy' hata kidogo!Kama umeguswa sana, basi mfate marehemu huko alikoenda. Kama huzijui njia za kumfikia, naweza kuziorodhesha hapa kwa uchache.
Nakubaliana na wewe Magufuli kama binadamu hakuwa mkamilifu. Kosa la Magufuli ni kuwa alipewa mamlaka asimamie haki sawa kwa raia wote. Yeye akatumia nafasi hiyo kuacha wengine waonewe, wengine wauliwe bila kuchukua hatua na kudhani yeye peke yake ndiye pekee mwenye kuweza kuiongoza nchi. (Na amewahi kuuliza kama yupo atakayeweza kufanya yale anayofanya)
Sasa Mungu kamchukua ili aone kuwa wapo wengine watafanya kama yeye na zaidi bila hata kuonea na kusababisha maumivu kwa wengine.
Shida nyingine Magufuli kila alipofungua mdomo wake hakuwa mtu wa kuongea maneno ya faraja wala kuleta tumaini. Mara nyingi ametumia mdomo wake kukwaza watu na kutoa maneno ya kejeli na kuudhi. Cha kusikitisha zaidi hotuba yake ya mwisho mtaani alimwambia yule bwana anayejiita "Trump" aliyehoji kuhusu malipo ya choo maneno ambayo hayapaswi kutamkwa na kiongozi wa nchi hadharani.
Mimi kama binadamu mwenzake namwombea tu awe alitafuta amani na Mungu wake katika siku zake za mwisho. Na Mungu amsamehe na kumpa pumziko la milele.
Mwenyewe.....Unauliza jibu? Baradhuli na fedhuli mkubwa.
Jifunze kuisimamia na kuitetea hoja bila matusi utaeleweka vuzuri.Unauliza jibu? Baradhuli na fedhuli mkubwa.
Itakuwaje kwan yeye aliumba nchi hii acheni kuwa na mawazo mgando nyie watu hata nyerere alipong'atuka kuna wapuuz Kama nyinyi walihoj itakuwaje nch n ya watanzania kila mtu anahaki ya kuongozaUnapoteza mb na muda wako kupost ujinga. Kila mtu anahoji itakuwaje maana JPM ameondoka. Tumia akili hatanya kuazima
Nyerere aliacha Wosia, Mkapa aliacha kitabu na Magufuli ameacha makaburi.
Kaka yangu aliuawa kikatili kwa Mapanga, Ubongo ukachuruzika mithili ya supu nzito ya nguruwe, Polisi bila hata uchunguzi wakatoa statement kwamba kauawa kwa ugomvi wa mapenzi pamoja na kuwaonesha meseji nyingi za vitisho kutoka kwa CCM na ambazo kabla marehemu aliripoti mwenyewe polisi hakuna hata mmoja aliyekamatwa.
Kisa ni kaka kuwa Diwani kupitia chadema, wakaamua kumuua kikatili kwa mapanga. RIP bro, RIP Azory Gwanda, RIP Ben Saanane
Lala milele Dikteta Jiwe, Usiamke tena na uwe kuni huku uendako
Mbona unalazimisha ukipendacho mkuuAfter two weeks utamkumbuka.
Ina maana huna imani na Mama Samia?After two weeks utamkumbuka.
Mkuu ni busara pekee ingewaelekeza kutambua hilo...Ujumbe wako hapa hasa ni upi,kumbuka ni muda wa maombolezo na sii muda wa siasa za migawanyiko.
Mchana huu nilikuwa mitaa ya Kinondoni, Magomeni na Ilala huko nimekuta watendaji wa mitaa wapo bize kuwafurusha watu kwenda barabarani na uwanja wa uhuru kutengeneza show (kugalagala, kulia, nk).Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko Twita, wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu.
Lakini leo hii tumepata picha kamili, wazalendo, wamachinga, wakinamama tumeshudia wakilia na kugaagaa mabarabarani hii ni kwa sababu wanajua pengo lake litakuwa ngumu kuzibwa.
Mabaradhuli na mafedhuli mnapoteza muda maana nyie ni kama 1% ya wanaoichukia Tanzania. Maana 99% wanaipenda Tanzania na leo mmeshuhudia.