Nyerere aliacha Wosia, Mkapa aliacha kitabu na Magufuli ameacha makaburi.
Kaka yangu aliuawa kikatili kwa Mapanga, Ubongo ukachuruzika mithili ya supu nzito ya nguruwe, Polisi bila hata uchunguzi wakatoa statement kwamba kauawa kwa ugomvi wa mapenzi pamoja na kuwaonesha meseji nyingi za vitisho kutoka kwa CCM na ambazo kabla marehemu aliripoti mwenyewe polisi hakuna hata mmoja aliyekamatwa.
Kisa ni kaka kuwa Diwani kupitia chadema, wakaamua kumuua kikatili kwa mapanga. RIP bro, RIP Azory Gwanda, RIP Ben Saanane
Lala milele Dikteta Jiwe, Usiamke tena na uwe kuni huku uendako