DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Kwa muda mrefu kuna watu kwa maslahi yao wenyewe wamekuwa wanasambaza taarifa kwamba kuna kipengele katika mkataba wa Feisal Salum na Azam ambacho kinasema kuwa iwapo Azam watamuuza Feisal ndani au nje ya nchi basi Yanga wanatakiwa kulipwa shilingi bilioni 1. Nimekuwa napinga hizo taarifa kwa muda mrefu.
Leo mwanasheria wa Feisal, Jasmine Razack amezikana rasmi hizo taarifa za uzushi.
Leo mwanasheria wa Feisal, Jasmine Razack amezikana rasmi hizo taarifa za uzushi.