Hakuna kipengele cha Utopolo kulipwa kutokana na mauzo ya Feisal Salum

Hakuna kipengele cha Utopolo kulipwa kutokana na mauzo ya Feisal Salum

Baada ya ile AMRI ya Rais Samia, Feisal alienda utopolo kwa bei sawa na bure.

Ili kuonyesha wao sio wanyonge walijaribu kuwachokoza Azam ili wajitete na kujikuta wanavujisha wenyewe siri za mkataba wa mchezaji, walipoona Azam wala Feisal hawana time nao, ndiyo wakaanza kuzusha hizi habari za bilioni. Ndiyo maana Jazmine anasema waliamua kukaa kimya ila wamechoka.
nani huyo
 
Ili kuondoa sintofahamu angeuweka hadharani huo mkataba si amemua kulifanya liwe jambo la kitaifa?
 
Ila wewe sijui Say nani, uko na kuweweseka na Yanga. Ukiamka tu Yanga ilikufanya nini?
Napenda kuwakera lakini pia nataka kuwaamsha kutoka usingizini. Nyie mnawakilisha tabala kubwa la Watanzania ambalo bado linapelekeshwa kirahisi sana na propaganda.

Hili tabaka inabidi liondoke au lipungue sana ili Tanzania mpya ipate kuzaliwa.
 
Kwa muda mrefu kuna watu kwa maslahi yao wenyewe wamekuwa wanasambaza taarifa kwamba kuna kipengele katika mkataba wa Feisal Salum na Azam ambacho kinasema kuwa iwapo Azam watamuuza Feisal ndani au nje ya nchi basi Yanga wanatakiwa kulipwa shilingi bilioni 1. Nimekuwa napinga hizo taarifa kwa muda mrefu.

Leo mwanasheria wa Feisal, Jasmine Razack amezikana rasmi hizo taarifa za uzushi.

View attachment 3349460
Ni kichekesho utopolo wapewe 1B kwa kipi, bei ya mchezaji mwenyewe ni B ngapi?
 
Kwani wewe hujawahi kusema kuwa "Azizi k hatokuja kuuzwa whydad". Yuko wapi saizi?.
 
Back
Top Bottom