DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Ametaka apate airtime tu huyokwani yanga walishawahi kusema kitu kama hicho mpk watoe kauli ya kufafanua madai hayo?
Kabisa mkuu..Watu wanatafuta umaarufu kupitia Yanga
Hadi walimtukania.mama.yake...nitamshangaa sana ndio mana sishangai kua walianzia kueneza taarifa za UONGO kuhusu bilioni Moja....Na dhihaka zote zile akirudi yanga nitamshangaa
Walishasema hilo mapema sana.Hata kama hawakusema Viongozi wa Yanga moja kwa moja, ila Mashabiki wao wamelisema sana hilo la Bilioni 1.Nyuzi zipo watu watakuja kuzifukua.kwani yanga walishawahi kusema kitu kama hicho mpk watoe kauli ya kufafanua madai hayo?
Hii aione yule roporopo Ricardo Momo wa wasafi ndiye alikuwa akieneza huu uwongo mwenyewe akiita za ndani.Kwa muda mrefu kuna watu kwa maslahi yao wenyewe wamekuwa wanasambaza taarifa kwamba kuna kipengele katika mkataba wa Feisal Salum na Azam ambacho kinasema kuwa iwapo Azam watamuuza Feisal ndani au nje ya nchi basi Yanga wanatakiwa kulipwa shilingi bilioni 1. Nimekuwa napinga hizo taarifa kwa muda mrefu.
Leo mwanasheria wa Feisal, Jasmine Razack amezikana rasmi hizo taarifa za uzushi.
View attachment 3349460
Pamoja na yule mropokaji wao.Hii aione yule roporopo Ricardo Momo wa wasafi ndiye alikuwa akieneza huu uwongo mwenyewe akiita za ndani.
kwani yanga walishawahi kusema kitu kama hicho mpk watoe kauli ya kufafanua madai hayo?
Ametaka apate airtime tu huyo
Watu wanatafuta umaarufu kupitia Yanga
Na dhihaka zote zile akirudi yanga nitamshangaa
Kabisa mkuu..
Ila wewe sijui Say nani, uko na kuweweseka na Yanga. Ukiamka tu Yanga ilikufanya nini?
Siku zote yanga ni timu ya kipumbavu sana na inaendeshwa kwa mihemko..
Hadi walimtukania.mama.yake...nitamshangaa sana ndio mana sishangai kua walianzia kueneza taarifa za UONGO kuhusu bilioni Moja....
Walishasema hilo mapema sana.Hata kama hawakusema Viongozi wa Yanga moja kwa moja, ila Mashabiki wao wamelisema sana hilo la Bilioni 1.Nyuzi zipo watu watakuja kuzifukua.
Utopolo ndo akina nani? Kumbe fei alishacheza timu tele
Hii aione yule roporopo Ricardo Momo wa wasafi ndiye alikuwa akieneza huu uwongo mwenyewe akiita za ndani.
Pamoja na yule mropokaji wao.
Baada ya ile AMRI ya Rais Samia, Feisal alienda utopolo kwa bei sawa na bure.Uto ni kama CCM wanawaza zaidi matumbo yao, wanaona kama wengine hawana haki
Baada ya ile AMRI ya Rais Samia, Feisal alienda utopolo kwa bei sawa na bure.
Ili kuonyesha wao sio wanyonge walijaribu kuwachokoza Azam ili wajitete na kujikuta wanavujisha wenyewe siri za mkataba wa mchezaji, walipoona Azam wala Feisal hawana time nao, ndiyo wakaanza kuzusha hizi habari za bilioni. Ndiyo maana Jazmine anasema waliamua kukaa kimya ila wamechoka.
Namjua mmoja humu ndani alikuwa anaongea utadhani yeye ndiye alipiga stamp mkataba wa Feisal.Walishasema hilo mapema sana.Hata kama hawakusema Viongozi wa Yanga moja kwa moja, ila Mashabiki wao wamelisema sana hilo la Bilioni 1.Nyuzi zipo watu watakuja kuzifukua.
Ally kamwe alisikika akisema [Jasmine] yupo Rightkwani yanga walishawahi kusema kitu kama hicho mpk watoe kauli ya kufafanua madai hayo?
unakaa ukiwa siriaz unamsikiliza ally kamwe!!!Ally kamwe alisikika akisema [Jasmine] yupo Right