nani huyoBaada ya ile AMRI ya Rais Samia, Feisal alienda utopolo kwa bei sawa na bure.
Ili kuonyesha wao sio wanyonge walijaribu kuwachokoza Azam ili wajitete na kujikuta wanavujisha wenyewe siri za mkataba wa mchezaji, walipoona Azam wala Feisal hawana time nao, ndiyo wakaanza kuzusha hizi habari za bilioni. Ndiyo maana Jazmine anasema waliamua kukaa kimya ila wamechoka.
shabiki alisema!!!kweli kichwa empty mzigo kwa shingoWalishasema hilo mapema sana.Hata kama hawakusema Viongozi wa Yanga moja kwa moja, ila Mashabiki wao wamelisema sana hilo la Bilioni 1.Nyuzi zipo watu watakuja kuzifukua.
Wavaa miwani wakuwa nao makini sanaunakaa ukiwa siriaz unamsikiliza ally kamwe!!!
Ila sasa ndio timu inayokuendesha hulali wakati hao unaoita wapumbavu wametulia vizuriSiku zote yanga ni timu ya kipumbavu sana na inaendeshwa kwa mihemko..
Nimefupisha tu. Nilikuwa namaanisha Deportivo de Utopolo.Utopolo ndo akina nani? Kumbe fei alishacheza timu tele
Napenda kuwakera lakini pia nataka kuwaamsha kutoka usingizini. Nyie mnawakilisha tabala kubwa la Watanzania ambalo bado linapelekeshwa kirahisi sana na propaganda.Ila wewe sijui Say nani, uko na kuweweseka na Yanga. Ukiamka tu Yanga ilikufanya nini?
Ni kichekesho utopolo wapewe 1B kwa kipi, bei ya mchezaji mwenyewe ni B ngapi?Kwa muda mrefu kuna watu kwa maslahi yao wenyewe wamekuwa wanasambaza taarifa kwamba kuna kipengele katika mkataba wa Feisal Salum na Azam ambacho kinasema kuwa iwapo Azam watamuuza Feisal ndani au nje ya nchi basi Yanga wanatakiwa kulipwa shilingi bilioni 1. Nimekuwa napinga hizo taarifa kwa muda mrefu.
Leo mwanasheria wa Feisal, Jasmine Razack amezikana rasmi hizo taarifa za uzushi.
View attachment 3349460
Hata mimi nimemshangaaunakaa ukiwa siriaz unamsikiliza ally kamwe!!!
mauzo ya azizi Key wanaulizia supu vepeNi kichekesho utopolo wapewe 1B kwa kipi, bei ya mchezaji mwenyewe ni B ngapi?