Hakuna kitabu chochote kitakatifu (Qoran/Bible) kilichoagiza Maridhiano na Shetani

Hakuna kitabu chochote kitakatifu (Qoran/Bible) kilichoagiza Maridhiano na Shetani

Mtume alipatana kuwekeana mikataba na waliompiga vita,musa alitaka mapatano na firauni
Japo bado nadai kujua shetani ni nani/nini
Hao mtume aliopigana nao akapatana nao walikua ni mashetani?
Alafu umezungumzia kuhusu kuweka aya ya Quran, naomba uweke hiyo aya
 
Hao mtume aliopigana nao akapatana nao walikua ni mashetani?
Alafu umezungumzia kuhusu kuweka aya ya Quran, naomba uweke hiyo aya
Mfano wa Musa na farao umeulewa sasa unataka aya za Quran tu
 

Attachments

  • Screenshot_2025-12-19-16-41-37-388.jpg
    Screenshot_2025-12-19-16-41-37-388.jpg
    180.8 KB · Views: 21
Hi I Maana yake ni kwamba YEYOTE atakayeamua kuridhiana n.a. Shetani atakuwa anamkosea Mungu wake na kwa vile atakuwa anavunja kanuni za Mungu mwenyewe basi bila Shaka atakuwa anatenda dhambi ya hatari na. atahukumiwa haraka sana.

Nimeweka Uzi huu kwa lengo la kuwakumbusha wacha Mungu wenzangu kwamba Shetani hana na wala hajawahi kuwa na Rafiki na ni kosa lisilo n.a. Msamaha Duniani na Akhera na. ni kejeli kuu kwa Mungu kujaribu kushirikiana naye

Wala hakuna haja ya kuwa n.a. Mashaka., Hii ni kwa vile HAKUNA MAHALI POPOTE DUNIANI AMBAKO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU.

Nakala: Joseph Warioba , Bandekile Mwamakula
Kwa ufupi: Biblia inamwita Shetani “mungu wa dunia hii” (2 Wakorintho 4:4)
 
Erythrocyte soma vizuri huu mkataba


Mkataba wa Hudaibiya

- Ni mkataba wa amani baina ya waislamu na Maquraish wa Makkah, mwaka wa 6 A.H, Dhul-Qa’adah (Machi, 628 A.D) katika kitongoji cha Hudaybiyah karibu na
Mji wa Makkah.

- Mkataba ulitiwa saini na Mtume (s.a.w) kwa niaba ya waislamu na Suhail bin Amri
Kwa niaba ya Makafiri wa Kiquraish.



Yaliyopelekea kutokea kwa Mkataba wa Hudaybiyah.
- ilikuwa Mtume (s.a.w) kutimiza ndoto (wahay) aliyoota mwaka 6 A.H. kuwa kuna siku atafanya ‘Umrah’.

- Mtume (s.a.w) akiwa na waislamu 1,400 walikwenda kufanya ibada ya ‘Umrah’ lakini walizuiliwa na Maquraish katika kitongoji cha Hudaibiyah wasiingie Makkah.

- Mtume (s.a.w) alituma wajumbe 2, mmoja baada ya mwingine ili kuwaomba Maquraish wawaruhusu waingie Makkah, lakini walikataliwa.

- Mtume (s.a.w) alituma mjumbe wa 3, ‘Uthman bin Affan’ (r.a) aliyeshikiliwa na Maquraish kwa muda, na kuja tetesi kuwa ameuawa.

- Mtume (s.a.w) aliwakusanya waumini chini ya mti na kuchukua kiapo cha utii (Bai’at) juu ya kulipiza kisasi cha ‘Uthman bin Affan’ (r.a), lakini baadaye alirejea.
Rejea Qur’an (48:18).



- Maquraish kwa kuwaogopa waislamu, walimuomba Mtume (s.a.w) kuweka mkataba wa amani na Mtume (s.a.w) alikubali, na ukaitwa “Mkataba wa Hudaybiyah”.
Rejea Qur’an (48:1).



Vipengele vya Mkataba wa Hudaybiyah.
1.Waislamu warudi Madinah bila kufanya ‘Umrah’.
2.Waislamu wanaweza kurudi mwakani (7 A.H) kufanya ‘Umrah’ lakini wakae siku tatu.
3.Wakija Makkah wasije na silaha ila panga zikiwa ndani yah ala zao.
4.Waislamu hawataenda nao Madinah waislamu wanaoishi Makkah na wala hawatamzuia yeyote miongoni mwao anayetaka kubakia Makkah.
5.Kama yeyote wa Makkah atatoroka kwenda kusilimu, Waislamu hawana budi kumrudisha (wasimpokee), lakini yeyote kutoka Madinah akitoroka kwenda Makkah kuritadi, Maquraish hawatapaswa kumrudisha Madinah (watampokea).
6.Makabila ya Waarabu yatakuwa huru kufanya Itifaki (urafiki) na upande wowote ule yanaoupendelea.
7.Pasiwe na vita kwa kipindi cha miaka 10 baina ya waislamu na Maquraish na baina ya waitifaki (Allies) wa Waislamu na waitifaki wa Maquraish.
8.Hapana ruhusa ya kutengua hata sharti moja katika hizi kabla ya miaka
 
Mkataba ulikuwa na masharti magumu sana kwa vile uislamu ni dini ya AMANI mtume aliusaini ili amani ipatikane

Uislamu ni dini ya Amani kaeni mkikijua hilo...
 
Hi I Maana yake ni kwamba YEYOTE atakayeamua kuridhiana n.a. Shetani atakuwa anamkosea Mungu wake na kwa vile atakuwa anavunja kanuni za Mungu mwenyewe basi bila Shaka atakuwa anatenda dhambi ya hatari na. atahukumiwa haraka sana.

Nimeweka Uzi huu kwa lengo la kuwakumbusha wacha Mungu wenzangu kwamba Shetani hana na wala hajawahi kuwa na Rafiki na ni kosa lisilo n.a. Msamaha Duniani na Akhera na. ni kejeli kuu kwa Mungu kujaribu kushirikiana naye

Wala hakuna haja ya kuwa n.a. Mashaka., Hii ni kwa vile HAKUNA MAHALI POPOTE DUNIANI AMBAKO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU.

Nakala: Joseph Warioba , Bandekile Mwamakula
Nafikiri Chadema na TEC wamekuelewa maana wao ndio walikuwa wanadai maridhiano
 
Niunge mkono hoja kwani itakuwa maajabu yaani upande mlima kilimanjaro karibu na kileleni bado 10m, kisha ughairi ubebwe na chopa kumalizia safari, wazee waendelee kukaza na kushikilia pale pale.
 
Mkataba ulikuwa na masharti magumu sana kwa vile uislamu ni dini ya AMANI mtume aliusaini ili amani ipatikane

Uislamu ni dini ya Amani kaeni mkikijua hilo...
Hakuna shaka kuhusu Uislam, uzi unamhusu Shetani
 
Umesema kweli, viongozi wanao hamasisha kukinukisha na kuongezea, "gharama za kukinukisha ni kubwa upo uwezekano wa kupewa kesi ya uhaini" aina hii ya kiongozi ni ushetani mwandamizi.
 
Back
Top Bottom