Ni vema kujikita kwenye hojaNakumbuka wakati ule mnasherehekea na kusifu maridhiano yenu na shetani (Mbowe&Awamu ya 6) tuliohoji tuliitwa Sukuma gang.😀
Mtume alisilimimsha majini na shetani sasa yote ni maislamu safi.Hi I Maana yake ni kwamba YEYOTE atakayeamua kuridhiana n.a. Shetani atakuwa anamkosea Mungu wake na kwa vile atakuwa anavunja kanuni za Mungu mwenyewe basi bila Shaka atakuwa anatenda dhambi ya hatari na. atahukumiwa haraka sana.
Nimeweka Uzi huu kwa lengo la kuwakumbusha wacha Mungu wenzangu kwamba Shetani hana na wala hajawahi kuwa na Rafiki na ni kosa lisilo n.a. Msamaha Duniani na Akhera na. ni kejeli kuu kwa Mungu kujaribu kushirikiana naye
Wala hakuna haja ya kuwa n.a. Mashaka., Hii ni kwa vile HAKUNA MAHALI POPOTE DUNIANI AMBAKO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU.
Nakala: Joseph Warioba , Bandekile Mwamakula
Hoja ipi hapo zaidi ya unafiki! Kuweni consistent siyo mnapelekwa tu kama ng'ombe!!Ni vema kujikita kwenye hoja
Kwa jibu hili basi jua hata yeye ataenda Nairobi kwa pesa yake si kupelekwa na mtuSihitaji kununuliwa mimi ninayo gari yangu nimenunua mwenyewe.
Una ushahidi kwamba hao ni viongozi wake?Biblia hyo hyo na quaran hakuna sehemu yoyote inasema uwaite viongozi wako mashetani
huyu aliejitwalia madaraka kwa mtutu wa bunduki siyo kiongozi wetu.Biblia hyo hyo na quaran hakuna sehemu yoyote inasema uwaite viongozi wako mashetani
Unataka kuniambia hakuna aliyepga kura?huyu aliejitwalia madaraka kwa mtutu wa bunduki siyo kiongozi wetu.
Hata kukuhurumia ni sawa na kupoteza mudaHoja ipi hapo zaidi ya unafiki! Kuweni consistent siyo mnapelekwa tu kama ng'ombe!!
Unaliwa weweHuwa hujitambui kabisa wewe. Kazi yako ni kukurupuka tu kama mlevi wa gongo
OhoooooUnaliwa wewe
Kwanza ni Mungu ndiye huweka tawala zote za mataifa yote.Hi I Maana yake ni kwamba YEYOTE atakayeamua kuridhiana n.a. Shetani atakuwa anamkosea Mungu wake na kwa vile atakuwa anavunja kanuni za Mungu mwenyewe basi bila Shaka atakuwa anatenda dhambi ya hatari na. atahukumiwa haraka sana.
Nimeweka Uzi huu kwa lengo la kuwakumbusha wacha Mungu wenzangu kwamba Shetani hana na wala hajawahi kuwa na Rafiki na ni kosa lisilo n.a. Msamaha Duniani na Akhera na. ni kejeli kuu kwa Mungu kujaribu kushirikiana naye
Wala hakuna haja ya kuwa n.a. Mashaka., Hii ni kwa vile HAKUNA MAHALI POPOTE DUNIANI AMBAKO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU.
Nakala: Joseph Warioba , Bandekile Mwamakula
NakataaKwanza ni Mungu ndiye huweka tawala zote za mataifa yote.
Ila kuna watawala japo wamewekwa na Mungu lakini wanafanya mambo ya kishetani Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani
Hivyo ikitokea utawala ukafanya mambo ya kishetani, ni vyema kufanya maridhiano ili kurejea kwenye kufanya ya Kimungu
Hata Mungu husemezana na shetani, baada ya uasi wa malaika lusiferi, Mungu akasemezana na NENO, tumuumbe kiumbe mfano wetu kitutii, ndio akaumba binadamu.
Kuna vitu havijaandikwa popote lakini navijua, ile temptation kwa mwanadamu sio God's making ni devil, Mungu alimruhusu
Siku Eva anamegwa tunda, Mungu aliona akaruhusu
Mateso ya Ayubu Mungu alisemezana na shetani
Bwana wetu Yesu Kristu alijaribiwa na shetani, hivyo who are you ushindwe kusemezana na shetani?
Kilichotokea October 29 ni ushetani, namna pekee ya kulimaliza tatizo ni kukaa chini na kusemezana.
P
Kwa ufupi: Biblia inamwita Shetani “mungu wa dunia hii” (2 Wakorintho 4:4)