Hakuna kitabu chochote kitakatifu (Qoran/Bible) kilichoagiza Maridhiano na Shetani

Nakumbuka wakati ule mnasherehekea na kusifu maridhiano yenu na shetani (Mbowe&Awamu ya 6) tuliohoji tuliitwa Sukuma gang.😀
 
Nakumbuka wakati ule mnasherehekea na kusifu maridhiano yenu na shetani (Mbowe&Awamu ya 6) tuliohoji tuliitwa Sukuma gang.😀
Ni vema kujikita kwenye hoja
 
Mtume alisilimimsha majini na shetani sasa yote ni maislamu safi.

Yakishirikiana na waislamu wenzao kufanya ugaidi na kuua hovyo.
 
Kwanza ni Mungu ndiye huweka tawala zote za mataifa yote.

Ila kuna watawala japo wamewekwa na Mungu lakini wanafanya mambo ya kishetani Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani

Hivyo ikitokea utawala ukafanya mambo ya kishetani, ni vyema kufanya maridhiano ili kurejea kwenye kufanya ya Kimungu

Hata Mungu husemezana na shetani, baada ya uasi wa malaika lusiferi, Mungu akasemezana na NENO, tumuumbe kiumbe mfano wetu kitutii, ndio akaumba binadamu.

Kuna vitu havijaandikwa popote lakini navijua, ile temptation kwa mwanadamu sio God's making ni devil, Mungu alimruhusu

Siku Eva anamegwa tunda, Mungu aliona akaruhusu

Mateso ya Ayubu Mungu alisemezana na shetani

Bwana wetu Yesu Kristu alijaribiwa na shetani, hivyo who are you ushindwe kusemezana na shetani?

Kilichotokea October 29 ni ushetani, namna pekee ya kulimaliza tatizo ni kukaa chini na kusemezana.

P
 
Nakataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…