Hakuna kitu cha maana hapa duniani kama kutafuta amani na Furaha yako!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Mengine mengi ni upuuzi mtupu, muda wetu hapa duniani ni mfupi sana, jipiganie upate amani, Furaha, na vichache kwa ajili ya vijana wako kwa hapo baadae ispokuwa wape vijana elimu kweli maana ndiyo msaada wao mkubwa sana, mali zitapita, majumba yatapita, magari yatapita lakini uzao bora wenye utadumu,

Tujiwekee makumbusho zetu za kifamilia, japo kizazi cha hapo baadae kiitambue japo picha ya baba ya babu yao, haya yamenijia baada ya kusoma habari za Damascus mji ambao ulikuwepo toka miaka ya 1540, jiji lake likiwa na watu machachari vijana wala bata la uhakika miaka hiyo, astaghafirulah, sasa wote wapo wapi?

Na bata zao, nadhani hata makaburi yao hayapo, unakuja gundua hakuna cha maana kabisa bali binadamu tunajawa na Tambo tu zisizo na maana yoyote, tutafute Furaha na amani ili tumalize vipande vyetu kwa amani na kwa haki!. (safari ni ndefu) au infinity!
 
Na bata zao, nadhani hata makaburi yao hawapo, unakuja gundua hakuna cha maana kabisa bali binadamu tunajawa na Tambo tu zisizo na maana yoyote, tutafute Furaha na amani ili tumalize vipande vyetu kwa amani na kwa haki!. (safari ni ndefu) au infinity!
Fisadi na mindsets za kifisadi
 
Mengine mengi ni upuuzi mtupu, muda wetu hapa duniani ni mfupi sana, jipiganie upate amani, Furaha, na vichache kwa ajili ya vijana wako kwa hapo baadae ispokuwa wape vijana elimu kweli maana ndiyo msaada wao mkubwa sana, mali zitapita, majumba yatapita, magari yatapita lakini uzao bora wenye utadumu,

Tujiwekee makumbusho zetu za kifamilia, japo kizazi cha hapo baadae kiitambue japo picha ya baba ya babu yao, haya yamenijia baada ya kusoma habari za Damascus mji ambao ulikuwepo toka miaka ya 1540, jiji lake likiwa na watu machachari vijana wala bata la uhakika miaka hiyo, astaghafirulah, sasa wote wapo wapi?

Na bata zao, nadhani hata makaburi yao hayapo, unakuja gundua hakuna cha maana kabisa bali binadamu tunajawa na Tambo tu zisizo na maana yoyote, tutafute Furaha na amani ili tumalize vipande vyetu kwa amani na kwa haki!. (safari ni ndefu) au infinity!
Exactly
 
Back
Top Bottom