Hakuna kitu kibaya kama kujihisi umeathirika HIV

Mi siwezi pata ngoma..na nikipata naweza kuishi nayo miaka 20 mbele. Sasa mpaka wakati huo wote dawa zitakuwa zimepatikana. Siwezi tumia condom. Kama mbway wacha iwe mbway
 
Kuna kipindi nilipita kavu kimasikhara kwa demu flani hivi
Aisee huwezi amini ulikua 2018 hivi kila nikilog JF nakutana na nyuzi za UKIMWI Kama zote kipindi kile nakumbuka Kuna member walikichafua humu kua kwa nyuzi zao za kutisha tisha dadeq zao

Nilipagawa nilikua kila nikipata vimafua tu stress aisee
Badae nikaja gundua hofu inaua kuliko ugonjwa wenyewe!
😂😂😂😂
 
Ukiwa kwenye io Hali ni lazima kila baada ya lisaa limoja utasikia kuhusu ukimw au kusoma sijui kwann Tena inaweza pita gar mbele yako plate number imeandikwa vvu [emoji26]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We jamaa una roho mbaya sana, kwa kifupi ulitaka kumuambukiza mkeo ukimwi
 
Ukimwi una wenyewe sio kila Mtu anapata......all in all play safe.
 
Ukiwa kwenye io Hali ni lazima kila baada ya lisaa limoja utasikia kuhusu ukimw au kusoma sijui kwann Tena inaweza pita gar mbele yako plate number imeandikwa vvu [emoji26]
Ahahhaahaaa! Nmecheka Sana qumammaeee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa ndio inakuja ile dhana ya hofu inaua ila jamani HIV inaogofya tuache utani yaani hamna mtu nilikuwa najiamini kama mimi ila siku naenda kupima sijui ile hofu ilitoka wapi
 
Katika kipindi kama hicho kila ukiona bango la ukimwi unaona linakutaja weweeee...

Sasa usiombee uwe mpenda ku google mambo ya ukimwi, yaani kila dalili unayoisoma unaona unayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…