opondo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 526
- 1,321
Nafsi pia inaniambia hivyo lakini Mungu aniepushe aisee..Mkuu unajitisha mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafsi pia inaniambia hivyo lakini Mungu aniepushe aisee..Mkuu unajitisha mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kitabu gani mkuu.Wakati Wa kuzini ubongo hutolewa kichwani na kuhamishiwa kwenye kichwa cha chini,ndo maana biblia inasema azinie hana akili.
Watoto wengi waliozaliwa 90s wamezaliwa nao..usijidanganye na VitotoTafuta wenye umri mdogo, wengi wao huwa wanadamu safi/changa hayo majimama yatakuja kukuuwa
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa kwenye io Hali ni lazima kila baada ya lisaa limoja utasikia kuhusu ukimw au kusoma sijui kwann Tena inaweza pita gar mbele yako plate number imeandikwa vvu [emoji26]
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pleaseAisee kuna manzi nilipiga dry tena niliokota juliana siku zinavoenda namuona nywele zinanyonyoka yani zimebakia nusu kichwa ilinibidi nichukue maamuzi ya kupima na sasa mambo swari kabisa.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Duh watu mna roho ngumu aisee...nna mwaka kama wa 6 hiv sijauza mechi..
Mim bila kondom siwez fanya tendo hata awe nani.
Hahahahahahahahajahahahahahahahahahahahahahahaaja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiwa kwenye io Hali ni lazima kila baada ya lisaa limoja utasikia kuhusu ukimw au kusoma sijui kwann Tena inaweza pita gar mbele yako plate number imeandikwa vvu [emoji26]
Condom zina save SanaSiku zote huwa nawaasa vijana Kuvaa Condom zinasaidia mnoo. Binafsi nimefanya sana Ufuska kwa Dar hapa hakuna Chimbo sijawahi beba Malaya...Kuanzia enzi za Jolly Club...Q Bar Oysterbay...Ambiance...Buguruni Max Bar...Buguruni Kimboka By Night..Kariakoo Concord Hotel...Mitaa ya Keys...Temeke Sugar Rays...Magomeni Lango la Jiji...Mango Gardern Kinondoni..Masai Club Zotee yaani hivyo ni viwanja vya Dar tu hapa Mikoani ndio usiseme...na nilikuwa sichagui yaani ushuani Uswahilini kote mimi napeleka Moto tuu...Ila uwezi amini katika Vurugu zote maeneoyote hayo sijawahi hata siku moja kuteleza kavukavu! Ilikuwa ni Condom kwa kwenda Mbelee. Nashukuru sana hadi leo hii nipo Fresh na sasa nimetulia nalea familia yangu. Kikubwa nilichojifunza ni kwamba Ukimwi unasambaa kizembe sana Majumbani kuliko Sehemu za Starehe. All in All Condom ndio zilizoniokoa.
MnooCondom zina save Sana
Mithali 6:32,aziniye na mwanamke hana akili.Kitabu gani mkuu.
UKIMWI ni kama utajiri, haupatikani kirahisi.Mkuu pole sana,,,ila ni vizuri ukaenda kupima kujuwa afya yako.
Mimi niliwahi kutembea na wanawake wanaoishi na VVU bila kujuwa kwa muda tofauti.
1--Mmoja nilikuta vidonge vya VVU kwenye mkoba wake,
Mara tu baada ya kumaliza tendo.
Nilitumia kinga lakini ilipasuka wakati nakojowa.
2-- huyu wa pili niliuza mechi kwa makusudi ili nifaidi mautamu.
Mtoto wa chuo cha magogoni,,alikuwa mtamu kama usingizi wa alfajiri.
Na sikutembea nae Mara moja.
Nilikuwa nae zaidi ya mwezi kimahusiano,,pika pakua kwangu.
Kukojowa nakojolea ndani.
Baadae kuna msela wangu mmoja akanisanua kwamba huyo demu unayepiga kishaua wawili na hapo anatumia vidonge vya VVU.
Mama !!mama!!mama!!
Aisee nilifadhaika Sana.
Nikapiga chini.
Lakini nilijipa moyo kwamba hapa duniani hakuna mlinzi wa dunia,
Wote tutakufa tu.
Niliendelea kujipa moyo huku naoogopa kupima..
Nikisikia matangazo ya VVU ,,moyo wangu unaumia sana.
Niliendelea Kutumia kinga kwa wanawake wengine kama vile sijapata maambukizi yeyote.
Baada ya kuoa,,
mke wangu alipopata ujauzito ikalazimika tupimwe.
Mm niliogopa kupima nikasingizia nimesafiri.
Mke wangu alipopima majibu yalikuja NEGATIVE.
Nilibahatika kwenda ulaya nikapima ukimwi bado kwangu ni NEGATIVE.
Hapa nilipo nipo Saudia,,
nimepimwa vipimo vyote vya damu na mwili mzima..
tena kwenye hospital kubwa inayoaminika na kampuni.
Tena damu imetolewa mikono miwili kulia na kushoto,
Nimepimwa kifua,,damu tena blood analysis.
Still majibu ni NEGATIVE,,. Sina ugonjwa wowote.
Nipo mzigoni kwenye mawimbi ya bahari naelea.
Watu wengi wanaishi kwa hofu ya kuambukizwa VVU kwa macho.
Baadae kuanza kwenda hovyo na wanawake bila kinga kwa kujuwa wameathirika.
Kumbe huko wanapokwenda ndy wanauvaa ugonjwa ambapo mwanzo walikuwa salama.
Tusikimbilie kujihisi wagonjwa bila kupima ..
Namshukuru Mungu kwa kunilinda...
Mkuu unaweza ukajisahau uakapiga tena maana nyege bhn
Hakika mkuu,,UKIMWI ni kama utajiri, haupatikani kirahisi.
Kuna siku nilipata ugeni wa ghafla wa mwanamke wa Facebook.Condom zina save Sana