Mkuu pole sana,,,ila ni vizuri ukaenda kupima kujuwa afya yako.
Mimi niliwahi kutembea na wanawake wanaoishi na VVU bila kujuwa kwa muda tofauti.
1--Mmoja nilikuta vidonge vya VVU kwenye mkoba wake,
Mara tu baada ya kumaliza tendo.
Nilitumia kinga lakini ilipasuka wakati nakojowa.
2-- huyu wa pili niliuza mechi kwa makusudi ili nifaidi mautamu.
Mtoto wa chuo cha magogoni,,alikuwa mtamu kama usingizi wa alfajiri.
Na sikutembea nae Mara moja.
Nilikuwa nae zaidi ya mwezi kimahusiano,,pika pakua kwangu.
Kukojowa nakojolea ndani.
Baadae kuna msela wangu mmoja akanisanua kwamba huyo demu unayepiga kishaua wawili na hapo anatumia vidonge vya VVU.
Mama !!mama!!mama!!
Aisee nilifadhaika Sana.
Nikapiga chini.
Lakini nilijipa moyo kwamba hapa duniani hakuna mlinzi wa dunia,
Wote tutakufa tu.
Niliendelea kujipa moyo huku naoogopa kupima..
Nikisikia matangazo ya VVU ,,moyo wangu unaumia sana.
Niliendelea Kutumia kinga kwa wanawake wengine kama vile sijapata maambukizi yeyote.
Baada ya kuoa,,
mke wangu alipopata ujauzito ikalazimika tupimwe.
Mm niliogopa kupima nikasingizia nimesafiri.
Mke wangu alipopima majibu yalikuja NEGATIVE.
Nilibahatika kwenda ulaya nikapima ukimwi bado kwangu ni NEGATIVE.
Hapa nilipo nipo Saudia,,
nimepimwa vipimo vyote vya damu na mwili mzima..
tena kwenye hospital kubwa inayoaminika na kampuni.
Tena damu imetolewa mikono miwili kulia na kushoto,
Nimepimwa kifua,,damu tena blood analysis.
Still majibu ni NEGATIVE,,. Sina ugonjwa wowote.
Nipo mzigoni kwenye mawimbi ya bahari naelea.
Watu wengi wanaishi kwa hofu ya kuambukizwa VVU kwa macho.
Baadae kuanza kwenda hovyo na wanawake bila kinga kwa kujuwa wameathirika.
Kumbe huko wanapokwenda ndy wanauvaa ugonjwa ambapo mwanzo walikuwa salama.
Tusikimbilie kujihisi wagonjwa bila kupima ..
Namshukuru Mungu kwa kunilinda...