Hakuna kitu kibaya kama kujihisi umeathirika HIV

Ujinganwa hii kitu, yule umdhaniaye kumbe site. Barmaids na Baadhi ya Dada poa wengi wako vizuri tu kwa sababu wako makini (sio wote though)

Huu ndio ukweli ambao wengi tunaukataa au tunaupuuza. Mimi nilipata manzi Bar tender. So nikawa nakula mzigo, alionyesha kutulia na makini sana. Siku za mwanzo tulikuwa hatuwezi kupiga game bila ndomu. Yaani hakubali, either yeye atakuja nazo au tutanunua na baadae tulipopima tukaonekana wote ni -ve. Ikawa tunakula gusanisha nyama kwa nyama ya Gnako wara wara. Tuliachana baadae.
 
Ukiwa kwenye io Hali ni lazima kila baada ya lisaa limoja utasikia kuhusu ukimw au kusoma sijui kwann Tena inaweza pita gar mbele yako plate number imeandikwa vvu [emoji26]

[emoji23][emoji23]
 
The same
Nliwah pitia situation kama hiyo mwaka uliopita
Yaan hata ualieshe tu unaanza kuogopa
Kifupi unakua huna aman wala raha
Kujua afya ni vyema
Ila ile situation yakusubiri majibu ni zaid ya situation

Daah .! Ni pagumu hapo usiambiwe na mtu [emoji28]
 
The same
Nliwah pitia situation kama hiyo mwaka uliopita
Yaan hata ualieshe tu unaanza kuogopa
Kifupi unakua huna aman wala raha
Kujua afya ni vyema
Ila ile situation yakusubiri majibu ni zaid ya situation

Daah .! Ni pagumu hapo usiambiwe na mtu [emoji28]
 
Bora kutulia ndugu hizi mambo sio kabisa zinatesa

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Sio poa mimi nilikuwa na google symptoms za miezi 3,6,9 hadi mwaka today niko mwaka wa tatu bado sijiamini, japo nimekoma kuuza mechi

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Hapa ndio inakuja ile dhana ya hofu inaua ila jamani HIV inaogofya tuache utani yaani hamna mtu nilikuwa najiamini kama mimi ila siku naenda kupima sijui ile hofu ilitoka wapi
Hili gonjwa linaogopesha kuliko hata ualisia wake. Nadhani ni gonjwa la kisiasa. Lina tisha kwa kweli

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Inasemekana ni vigumu mtumia dozi kumuambukiza mtu mwingine sijajua sababu japo wapo waliodai kwamba ni matokeo ya zile dawa kuvipunguza nguvu virusi
 
Kuna michongo mingine unaweza pata
Ili uifanye lazima upime ngoma!

Mziki unaanzia hapo sasa

Ova
 
Ukimwi ni ugonjwa wa uongo

cc Deception

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daa nimecheka eti mungu nisaidie siuzi mechi tena. Jitoe muhanga ukapime

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Shukuru kiba100 chako kilielea, ungekoma[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Just a quick moment that every young should through so take it easy mkuu
 
Mkuu unaweza ukajisahau uakapiga tena maana nyege bhn
 
Mkuu unajitisha mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…