Hakuna kitu kibaya kama kujihisi umeathirika HIV

Ile naingiza Kichwa tu Condom ilipasuka nikahisi eti demu Ni bikra utamu ukaongezeka kumbe condom imebust baada ya hapo niliishi kwa hofu Sana maana madem wa maeneo yale walisadikika wameungua wengi sana chini ya umri wa miaka 18-25
 
Daaaaa mkuu kama umenisema mimi vile...... nimeshtuka sana. Ama kweli tabia ya vijana wa rika ilo inafanana sana
 
Hii kitu ni noma sana, kuna kipindi nilipitia hii hali aise nilikuwa kila nikiamka asubuhi nakuta nimeumwa na mbu sasa vile vipele naona mbona ngoma kabisa hii [emoji23][emoji23]

Ni bonge ya mateso, yani kila dalili niki google naona imoo![emoji23] hadi kuhara daah! noma sana

Nilipungua kilo hadi zikafika 46Kg na hapo nina urefu 6ft hadi yule nesi phamas akaniuliza tatizo ninii!?, mim nasema tu masomo dada yangu [emoji3]

Uvumilivu ukanishinda nkazama zangu kituoni nkajikuta nipo clean kabisa, na afya ikarudi ghafla. Wakuu michezo ya rafu sio kabisa.
 
Ukiwa kwenye io Hali ni lazima kila baada ya lisaa limoja utasikia kuhusu ukimw au kusoma sijui kwann Tena inaweza pita gar mbele yako plate number imeandikwa vvu [emoji26]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee kuna manzi nilipiga dry tena niliokota juliana siku zinavoenda namuona nywele zinanyonyoka yani zimebakia nusu kichwa ilinibidi nichukue maamuzi ya kupima na sasa mambo swari kabisa.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] please
 
Duh watu mna roho ngumu aisee...nna mwaka kama wa 6 hiv sijauza mechi..

Mim bila kondom siwez fanya tendo hata awe nani.

Ukimwi kwa kijana ni kuomba tu usikutane nao na ukikutana nao uwe ukimwi mpole usiwe active kiivyo. Maana unaweza tumia ndomu na ukaupata tu

Labda kama sio mtu wa kunyonyana nyonyana, yani wewe kunyonya chuchu iwe ni mwiko na kuhusu ndimi basi uwe na afya la lips la sivyo noma Mkuu
 
Siku zote huwa nawaasa vijana Kuvaa Condom zinasaidia mnoo. Binafsi nimefanya sana Ufuska kwa Dar hapa hakuna Chimbo sijawahi beba Malaya...Kuanzia enzi za Jolly Club...Q Bar Oysterbay...Ambiance...Buguruni Max Bar...Buguruni Kimboka By Night..Kariakoo Concord Hotel...Mitaa ya Keys...Temeke Sugar Rays...Magomeni Lango la Jiji...Mango Gardern Kinondoni..Masai Club Zotee yaani hivyo ni viwanja vya Dar tu hapa Mikoani ndio usiseme...na nilikuwa sichagui yaani ushuani Uswahilini kote mimi napeleka Moto tuu...Ila uwezi amini katika Vurugu zote maeneoyote hayo sijawahi hata siku moja kuteleza kavukavu! Ilikuwa ni Condom kwa kwenda Mbelee. Nashukuru sana hadi leo hii nipo Fresh na sasa nimetulia nalea familia yangu. Kikubwa nilichojifunza ni kwamba Ukimwi unasambaa kizembe sana Majumbani kuliko Sehemu za Starehe. All in All Condom ndio zilizoniokoa.
 
Ukiwa kwenye io Hali ni lazima kila baada ya lisaa limoja utasikia kuhusu ukimw au kusoma sijui kwann Tena inaweza pita gar mbele yako plate number imeandikwa vvu [emoji26]
Hahahahahahahahajahahahahahahahahahahahahahahaaja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila kweli daah
 
Condom zina save Sana
 
UKIMWI ni kama utajiri, haupatikani kirahisi.
 
Katika michango yote hapo umegundua kuwa wanawake wengi hawana maamuzi juu ya kuvaa condom au kutokuvaa?na hata ikitokea imepasuka wao huwa hawa panic kama wanaume!kifupi acha zinaa...
 
Condom zina save Sana
Kuna siku nilipata ugeni wa ghafla wa mwanamke wa Facebook.
Alinishtukiza kuja saa saba usiku.,,tena akiwa amelewa sana.
Duu!! Kila nikiangalia condom sioni,,

Kila nikimuangalia yule mwanamke kwa macho ya kawaida,,
Naona kabisa virus vinaelea mwilini mwake..

Na alivyokuwa mchokozi,,kufika tu kavua nguo zote kajitupa kitandani ,,uchi wa mbuzi..

Nilipata mtihani sana mkuu,,
Condom sina,,,mwanamke namtaka nimle. ,,usingizi hauji.

Naogopa kumla kavu nahofia virus.,

Mwishowe nikafanya maamuzi ya kibaharia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…