dah nawapenda wanawake weusi hadi naumwa yani...!!Mbona me mweusi. Na weupe siutamani hata chembe na weusi najivunia, im african beautiful
Unaweza ukawa mweusi lakini ukawa tayari ushamilikiwa kwingine, ugumu ndio uko hapo, au wewe unasifa zote mbili, black and single?Mbona me mweusi. Na weupe siutamani hata chembe na weusi najivunia, im african beautiful
hahahaWakuu walah hakuna mwanamke mweusi tena
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahaaa. Ndio tabu ya kuchelewa chelewa hiyo.
Kilichobaki pambaneni na hao hao kina Mbagala Rangi tatu. Teh.
Black is what....?Najivunia kuwa cheusi mangala
BeautifulBlack is what....?
Halafu meno meupe wataamu hao kinomaWapo kibao. Njoo Geita. Mwanza. Bunda. Tarime
There you are rafikiBeautiful
Nadhani hauko sahihi mummy!! Tunazungumzia black beautyWeusi wa aje unawazungumzia? Kama kaniki???