Hakuna kitu kigumu kwenye kuoa kama kupata mke mweusi kwenye zama hizi

Kama unatumia mkorogo naomba tukae mbalimbali kama kaskazini na kusini


Hamna kitu nisichopenda kama mtu kujikoboa
 
White people have lack in melanin whereas black tuna melanin mingi
 
Weusi mpelekee g nako.

Si tunataka chura mkubwaaa na mweupe mapajani awe na michirizi.... [emoji23] [emoji1] [emoji119] [emoji119]
 
Wanawake weusi raha sana nawapenda kiukweli siku nikitoa posa itakuwa kwa hivi viumbe vyenye rangi adimu mzungu aliyoishindwa kama we mweusi tembea kifua mbele ujue unapendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…