Angekuja nilipo mimi,ashuhudie ukuu wa Mungu kwenye kutengeneza hizi rangi,aone venye nilikolezwa hii rangiSasa atakuwa wapi huko kwa trump kwenyewe weusi wapo
Wacha weeeehAngekuja nilipo mimi,ashuhudie ukuu wa Mungu kwenye kutengeneza hizi rangi,aone venye nilikolezwa hii rangi
Niko nimekolea weusi shemu,yaani nikitaka kupiga picha hata iwe mchana inabidi ni turn on flash ili kuongezea mwangaWacha weeeeh
Ebu weka picha ahakikisheAngekuja nilipo mimi,ashuhudie ukuu wa Mungu kwenye kutengeneza hizi rangi,aone venye nilikolezwa hii rangi
Nimeweka hapo juu labda kama hajaonaEbu weka picha ahakikishe
Bongo bwana, unakuta mdada ni mweupe usoni ukishuka kwenye miguu ni mweusi unajiuliza huyu ni chotara nn , jibu linabaki kuwa ni chotara
Sasa wakurya si weupe umekuwajeWapo kibao. Njoo Geita. Mwanza. Bunda. Tarime
Asilimia kubwa ni weusi,tena tiiiii tiiiiiiSasa wakurya si weupe umekuwaje
Black is beauty lakiniNiko nimekolea weusi shemu,yaani nikitaka kupiga picha hata iwe mchana inabidi ni turn on flash ili kuongezea mwanga
Umenena shem mkubwaEbu weka picha ahakikishe
Haionekan vizur shemNimeweka hapo juu labda kama hajaona
Niko apaHaionekan vizur shem
geita ya wapi, mana hapa naona wamejaa wa singida tuuu,, usborn,, classic,, desire,, ???Wapo kibao. Njoo Geita. Mwanza. Bunda. Tarime
huyo wa mwisho wa ukweli!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuuuuuuuWatu wanajua kwenda na upepo!! Leo kila mtu mweusi, basi mie ndo dada mkuu wa weusi!!