Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
LAANA LAANA LAANA
Katika akili yako toka uzaliwe kama ulikuwa hujui leo nakupa madini hakuna kitu kinachoitwa LAANA narudia tena hakuna LAANA
LAANA nikitu umepandikizw kichwani either kw kuhadithiwa au kupitia vitabu vya kidini ila nataka ufaham kila kitu kinacho tokea maishani mwako nimatokeo tu ya life style yako ....
ukiwa unafikiria kushindwa muda wote utavutia kushindwa kila kitu utachofanya utashindwa utasingizia laana ya kushindwa....
ukiwa unawaza ushindi kila kitu utachogusa ama kufanya kitakuwa ni ushindi, hii inaitwa law of attraction
sasa kuna kitu kingine watu hawakijui kinaitwa KARMA jambo lolote unalo lifanya liwe zuri ama baya linamalipo yake hyo ndio KARMA kwahyo inawezekana hiyo unayoiita laana ni KARMA ya jambo fulan baya uliwahi kufanya huko nyuma
#ahsante