Hakuna kitu kinachoitwa laana

Hakuna kitu kinachoitwa laana

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
LAANA LAANA LAANA

Katika akili yako toka uzaliwe kama ulikuwa hujui leo nakupa madini hakuna kitu kinachoitwa LAANA narudia tena hakuna LAANA

LAANA nikitu umepandikizw kichwani either kw kuhadithiwa au kupitia vitabu vya kidini ila nataka ufaham kila kitu kinacho tokea maishani mwako nimatokeo tu ya life style yako ....

ukiwa unafikiria kushindwa muda wote utavutia kushindwa kila kitu utachofanya utashindwa utasingizia laana ya kushindwa....

ukiwa unawaza ushindi kila kitu utachogusa ama kufanya kitakuwa ni ushindi, hii inaitwa law of attraction

sasa kuna kitu kingine watu hawakijui kinaitwa KARMA jambo lolote unalo lifanya liwe zuri ama baya linamalipo yake hyo ndio KARMA kwahyo inawezekana hiyo unayoiita laana ni KARMA ya jambo fulan baya uliwahi kufanya huko nyuma

#ahsante
1733861184655.jpg
 
Unaikataa laana unaikubali karma?

Laana ni nini?

Laana ni maneno ya masikitiko yenye HAKI yanayotamkwa na mtu yeyote Kwa uchungu,kumwendea mtu fulani. kumbuka kama utatamkiwa maneno mabaya yenye apizo lakini huna kosa,yaani mwenye kulalamika hana haki,hakuna laana itakupata. Ila utachukiwa na kutengwa na watu wepesi wa kuamini vitu bila kufanya utafiti

Karma ni nini?

Karma ni marudio ya mambo mabaya uliyowahi kufanya,au kumfanyia mtu hata kama ulimfanyia bila yeye kujua kama kafanyiwa vibaya.(kumbuka hata kama muhusika alipuuzia lakini karma itakurudia.

Baraka ni nini?

Baraka ni mambo yote mazuri unayofanya Kwa watu au jamii kisha kujikuta ,mambo yako yanaenda vizuri.

Mkosi ni nini?
Mkosi ni balaa analokutana nalo mtu baada ya kupanga mambo yako kisha kwenda kombo (vibaya)kinyume na matatajio,au kupoteza kitu au vitu katika hali isiyotarajiwa. Lakini pia ni Ile hali ya kufananishwa,

Mfano watu wanakimbiza mwizi aliyevaa kama wewe,akawapotea ghafla na wewe unakatiza mbele yao kinachofuata ndiyo mkosi wenyewe

Bahati ni nini?

Bahati ni mchongo wowote unaokutana na utayari.

Kumbuka ,bahati yoyote ina maandalizi ambayo muhusika hajui au anajua Kwa asilimia ya chini.

Kama utaamka na kuokota begi la hela njiani,maana yake ulikuwa tayari na huo mchongo ,vipi kama ungekaa tu nyumbani.

Kama utaweka shilingi Mia kwenye kamari kisha ukashinda milioni kumi ,hiyo ni bahati,lakini tayari ulijiandaa na hiyo bahati.

Kama wewe ni jobless halafu ukajikuta umeitwa kwenye usahili Ile ghafla bin vuu na kupata kazi TPA,TRA, au BOT hiyo ni bahati lakini inakutana na utayari.
 
Kivipi mkuu. Fafanua kidogo
Watu wana amini kwamba eti ukitenda ubaya utalipwa ubaya(karma) lakini hakuna kitu kama hiki.

Mababu zetu waliteswa sana kipindi cha utumwa na ukoloni na hakuna karma yoyote iliyowapata wazungu. Wazungu wanazidi kutajirika na waafrika wanazidi kuwa maskini choka mbaya.

Viongozi wa serikali wamekuwa wakiwahujumu wananchi wao kwa ufisadi, wizi, ubadhirifu wa mali za umma, Lakini hakuna karma yoyote inayowapata. Wanazidi kutajirika huku wananchi wakiendelea kubaki Maskini.

Karma ni dhana ya kuwafariji maskini tu. Haipo.

In the jungle of life salvation is largely on your hands. Hakuna karma, wala baraka.
 
LAANA LAANA LAANA

Katika akili yako toka uzaliwe kama ulikuwa hujui leo nakupa madini hakuna kitu kinachoitwa LAANA narudia tena hakuna LAANA

LAANA nikitu umepandikizw kichwani either kw kuhadithiwa au kupitia vitabu vya kidini ila nataka ufaham kila kitu kinacho tokea maishani mwako nimatokeo tu ya life style yako ....

ukiwa unafikiria kushindwa muda wote utavutia kushindwa kila kitu utachofanya utashindwa utasingizia laana ya kushindwa....

ukiwa unawaza ushindi kila kitu utachogusa ama kufanya kitakuwa ni ushindi, hii inaitwa law of attraction

sasa kuna kitu kingine watu hawakijui kinaitwa KARMA jambo lolote unalo lifanya liwe zuri ama baya linamalipo yake hyo ndio KARMA kwahyo inawezekana hiyo unayoiita laana ni KARMA ya jambo fulan baya uliwahi kufanya huko nyuma

#ahsanteView attachment 3174048
Aliwazalo mjinga ndilo litakalo mtokea
 
Wewe unasema hakuna laana, halafu hapohapo unasema kuna karma.

Yaani una ji contradict mwenyewe.

Kama karma ingekuwepo, mababu zetu walioteswa na kudhulumiwa utumwani na kipindi cha ukoloni, Hiyo Karma ingewalipia.

Lakini nothing happened.
Ndo inawalipia sasa Kwa waafrica kuanza kuamka
 
Kama unazungumzia karma kwamba unayoyatenda[Tabia zako], yatakuletea matokeo yanayoendana sawa na unayoyatenda [Plactically] - 👍🏾

Kama unazungumzia karma kwamba unayoyatenda[Tabia zako], Yatalipwa na Spiritual beings "Gods" [Spiritually] - 👎🏾
 
LAANA LAANA LAANA

Katika akili yako toka uzaliwe kama ulikuwa hujui leo nakupa madini hakuna kitu kinachoitwa LAANA narudia tena hakuna LAANA

LAANA nikitu umepandikizw kichwani either kw kuhadithiwa au kupitia vitabu vya kidini ila nataka ufaham kila kitu kinacho tokea maishani mwako nimatokeo tu ya life style yako ....

ukiwa unafikiria kushindwa muda wote utavutia kushindwa kila kitu utachofanya utashindwa utasingizia laana ya kushindwa....

ukiwa unawaza ushindi kila kitu utachogusa ama kufanya kitakuwa ni ushindi, hii inaitwa law of attraction

sasa kuna kitu kingine watu hawakijui kinaitwa KARMA jambo lolote unalo lifanya liwe zuri ama baya linamalipo yake hyo ndio KARMA kwahyo inawezekana hiyo unayoiita laana ni KARMA ya jambo fulan baya uliwahi kufanya huko nyuma

#ahsanteView attachment 3174048
Ebu ingia gugu usome kitu kinaitwa " Benfica Curse" halafu uje tujadili.
 
sasa kuna kitu kingine watu hawakijui kinaitwa KARMA jambo lolote unalo lifanya liwe zuri ama baya linamalipo yake hyo ndio KARMA kwahyo inawezekana hiyo unayoiita laana ni KARMA ya jambo fulan baya uliwahi kufanya huko nyum
Hata hiyo karma HAKUNA
 
Back
Top Bottom