Wengine ukishasema plate number tunaelewa...Somebody cares
Uko sahihi mtu akisema Plate Number anakuwa anamaanisha namba za gari.Plate Number T 203 DTS, T 532 CDA or Private Plate Number MESSY, PLATINUMZ, MO1, MO2 n.k.
Number Plate ya njano, nyeupe, nyekundu, blue na rangi zinginezo.
Ni kama tunabishania lugha. Hiyo kisahani ulitaka wakiiteje?Sasa tuachane na hilo tujadili na Hilo neno "plate" maana wengine tukiona tu neno plate basi tunawaza msosi!! Ilikuwaje kuwaje waweke neno plate tu.. what wrong with them..?
Halafu huko kwenye plate number tuache hivyohivyo Kama hakuna mahali wanaita hivyo basi tz ndo tunaita!.. kisahani namba huelewi Nini hapo..?
Kibao namba.Ni kama tunabishania lugha. Hiyo kisahani ulitaka wakiiteje?
Kibao namba.
uko sahihii zaid, plate number ni Namba ya sahani ambayo ndo inaandikwa kwny hyo sahaniPlate Number T 203 DTS, T 532 CDA or Private Plate Number MESSY, PLATINUMZ, MO1, MO2 n.k.
Number Plate ya njano, nyeupe, nyekundu, blue na rangi zinginezo.
Who cares?