Hakuna kitu kinaitwa "plate number" Dunia hii

Hakuna kitu kinaitwa "plate number" Dunia hii

Dumelang

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
3,204
Reaction score
5,710
Waswahili sijui tuliokota wapi hili neno kwenye vibao vya usajili wa magari

Hii inaitwa Number plate
Yani kibao cha namba,
Kusema plate number ni sawa nakusema
Here come, badala ya come here au people black badala ya black people, au trailer Car badala ya Car trailer

Kwingine, yani nchi nyingine inaitwa Vehicle registration plate
Au licence plate ila sio hii yetu plate number. NI NUMBER PLATE
 
Sasa tuachane na hilo tujadili na Hilo neno "plate" maana wengine tukiona tu neno plate basi tunawaza msosi!! Ilikuwaje kuwaje waweke neno plate tu.. what wrong with them..?

Halafu huko kwenye plate number tuache hivyohivyo Kama hakuna mahali wanaita hivyo basi tz ndo tunaita!.. kisahani namba huelewi Nini hapo..?
 
Ni kama tunabishania lugha. Hiyo kisahani ulitaka wakiiteje?
 
Back
Top Bottom