Hakuna kitu kinaitwa "plate number" Dunia hii

Nawewe umefeli. Kiswahili Cha number plate sio kibao Cha number ila ni kisahani Cha number. Ngoma droo
 
Plate number ni sahihi pia. Kile kibao chenye namba huitwa Plate. Number plate maana yake ni kibao cha namba. Yaani A PLATE OF NUMBERS.

Kwanini plate number ni sahihi? Fikiria
 




Ni "Secretary general" au "General secretary" ???
 
Endeleeni na Viingereza vyenu. Sisi huku kwa Mtogole tunajua hicho ni PLATE NUMBER!
 



Mkuu, inatakiwa kwanza ujifunze matumizi ya neno la kiingereza vyakutosha ndipo ulete post inayohusu hilo neno, wewe unadai hakuna maneno "plate number" isipokuwa " number plate"--- huku hujui kwamba maneno "plate number" nayo hutumika kumaanisha zile namba zilizopo juu ya "number plate"

Mfano unapotaka kusema kwa kiingereza kwamba; Namba za gari langu zimefutika---- my car's plate numbers are erased. Hayo ndiyo matumizi ya hayo maneno, usiseme hayapo isipokuwa hayawezi kutumika interchangeably na maneno number plate.

Hivyo caption (Heading) yako ilitakiwa isiwe hivyo ilivyo.
 
Achana na kile kibao,
Zile numbers pale zinaitwaje?
 

Uko sahihi Mkuu. Umewaambia TRA na Traffic lakini? Maana hawa akili zao wanazijua wenyewe! Ndio waliolivuruga.
 
Na ukitaka kusema numbers za kwenye kibati/kibao?
Unataka ligi tu. Siku zote tunapotamka hatumaanishi zile namba zilizoandikwa tuna maanisha kibao chote

Dumelang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…