Hakuna kitu kinaitwa uungwana au huruma katika kuongoza Taifa

Kama Taifa lingeongozwa kwa ungwana na huruma basi Taifa Hilo lazima liwe ktk hali dhoofu na kito wajibika kwa viongozi.
Taifa linaongozwa kwa amri na taratibu Taifa linaongozwa kwa codes na nje ya hizo codes tunakula kichwa Taifa haliongozwi kama unavyo mlea mtoto hapana Taifa linaongozwa kwa mkono wa chuma kwa sababu wapo wanakitamani kiti kwahiyo ukikikalia kwa hey u know my friend wanakunyang'anya kiti. Lazima uwe mbabe na uwamini kile una kiamini lazima uwatoe jasho watu sio uwachekee watakupoteza hao lazima ufukuze ubadilishe ukemee Yani hakuna mtu kujiona salama...
Ukiona mtu anakuja ofisini na mikakati mitam na kucheka Cheka Yani mtumie kunguni, Chawa, viroboto mpaka panya Yani akifika kwenye kiti chake ni kujikuna mwanzo mwisho alafu mwisho unampa nafasi kujitafakari... Ndio wanavyo fanya viongozi wenzako Yani mtu anakuchekea Chekea alafu hali za watu wako mbaya bado unampa nafasi anakunywa chai ya serikali huyo anakupoteza.

Najuwa hutaki kuwa kama wale ila sio ktk kuongoza Taifa Taifa ni taasisi nyingine kabisa kwasababu kila mtu anakitaka kiti na kama anakitaka hawezi kuwa mwema kwako kiasi Hiko yupo mtu anaweza kuleta mawazo yakijinga kwako ila same anajuwa kama yeye asinge yakubali mtu kama huyu una muachaje kwa mfano ? Kuna wanafiki wengine wanaweza kukusifia ila wana agenda yao ya Siri unazijuwaje Yani tuma kunguni, Chawa, viroboto, utitiri, panya, kunguni Yani huyo hakuna kulala na ndio formula yaku tawala.
Ona sasa ona sasa wanakuletea mamiradi ya ajabu wanajuwa huyu ni muugwana tena amefunga hao wakimbie kama ukoma... Wanakusifia wakiwa namabisu nyuma ya mgongo.. sisi Maraia tunaona na ukiuliza kila mtu atasema hapa Kuna shida na shida ipo kwa hawa sio huyu.
Ingekuwa mm sikubali Yani ukiniletea upuuzi kwenye meza ya jamuhuri kabla hujafika ofisini nahakikisha unawashwa tu na isitoshe nakutumia panya na ma snichi wakutosha nikimaliza nakutengua usiku mnene hakuna kucheka na mtu
Nawatakia Mfungo mwema.
Babu Hakuna hata Aya Wala line spacing

Rekebisha kidg nitasoma sasa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Damu ya Ben Saanane itakutesa sana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Uandishi wa "Kihutu Hutu".
Kadri siku zinavyosonga mbele,naona kuna kujiweka wazi kwa ID nyingi humu JF kuwa wao ni "wa kule kule".
 
Sasa hivi ili kufurahisha ma godfather ni mwendo wa miradi ya 10% tu! Unaangalia mradi unaona umekaa kiupigaji tu.

Tuendelee kudeal na mwendazake kwanza [emoji1787]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Mtu ambaye hana uzoefu wa kuongoza hata kijiji anatoa ushauri jinsi ya kuongoza nchi.

Uongozi ni hekima, siyo maguvu.

Kwa waumini, wanafahamu habari hii:

Usiku ule Mungu akamtokea Sulemani, akamwambia, Omba utakalo nikupe. Sulemani akamwambia Mungu, Umemfanyia baba yangu Daudi fadhili kuu, nawe umenimilikisha mimi badala yake. Basi sasa, Ee BWANA Mungu, na limyakinie baba yangu Daudi neno lako; maana umenitawaza niwe mfalme juu ya watu wengi kama mavumbi ya nchi. Basi sasa nipe hekima na maarifa, nijue kutoka na kuingia mbele ya watu hawa; kwa kuwa ni nani awezaye kuwahukumu watu wako hawa walio wengi? Naye Mungu akamwambia Sulemani, Kwa sababu neno hili lilikuwamo moyoni mwako, wala hukujitakia mali, wala utajiri, wala utukufu, wala maisha za wakuchukiao, wala hukujitakia maisha ya siku nyingi; bali umejitakia hekima na maarifa, upate kuwahukumu watu wangu, niliokutawaza juu yao; basi hekima na maarifa umepewa; nami nitakupa mali, na utajiri, na utukufu, kupita walivyokuwa navyo wafalme wote waliokuwa kabla yako, wala baada yako hapatakuwa na mtu atakayekuwa kama wewe.
Mfaulme Sulemani alioa wake wangapi?
 
HEKIMA sio!!!!
 
Alikuwepo mwenye tamaa kama wewe ,kujiona mbabee ,kujiona yeye ndio yeye anataka kukalia kiti cha uraisi milele ...

Alikuwepo alitaka mpaka kujiongezea miaka ya uraisi ...

Alikuwepo alikuwa anatuma kunguni ,viroboto na chawa ...

Alikuwepo alikuwa anatuma Hadi nyoka kumaliza watu kabisa ili akalie kiti milelel ....

UNAJUA SAIZI YUKO WAPI ?... TAYARI KASHAZIKWA .......!!

Hii dunia sio yako bwana mdogo na hicho kiti sio cha kung'ang'ania kama ruba hata siku moja ....uking'ang'ania Hiko kitu kama ulizaliwa nacho dunia itakufunza na kukuonesha kuwa wewe ni mtu mdogo Sana mpumbavu wewe ....
Hatari sn
 
Haya ndio mawazo na uzi wa hovyo sana tangu mwaka huu uanze.
Kama Taifa lingeongozwa kwa ungwana na huruma basi Taifa Hilo lazima liwe ktk hali dhoofu na kito wajibika kwa viongozi.
Taifa linaongozwa kwa amri na taratibu Taifa linaongozwa kwa codes na nje ya hizo codes tunakula kichwa Taifa haliongozwi kama unavyo mlea mtoto hapana Taifa linaongozwa kwa mkono wa chuma kwa sababu wapo wanakitamani kiti kwahiyo ukikikalia kwa hey u know my friend wanakunyang'anya kiti. Lazima uwe mbabe na uwamini kile una kiamini lazima uwatoe jasho watu sio uwachekee watakupoteza hao lazima ufukuze ubadilishe ukemee Yani hakuna mtu kujiona salama...
Ukiona mtu anakuja ofisini na mikakati mitam na kucheka Cheka Yani mtumie kunguni, Chawa, viroboto mpaka panya Yani akifika kwenye kiti chake ni kujikuna mwanzo mwisho alafu mwisho unampa nafasi kujitafakari... Ndio wanavyo fanya viongozi wenzako Yani mtu anakuchekea Chekea alafu hali za watu wako mbaya bado unampa nafasi anakunywa chai ya serikali huyo anakupoteza.

Najuwa hutaki kuwa kama wale ila sio ktk kuongoza Taifa Taifa ni taasisi nyingine kabisa kwasababu kila mtu anakitaka kiti na kama anakitaka hawezi kuwa mwema kwako kiasi Hiko yupo mtu anaweza kuleta mawazo yakijinga kwako ila same anajuwa kama yeye asinge yakubali mtu kama huyu una muachaje kwa mfano ? Kuna wanafiki wengine wanaweza kukusifia ila wana agenda yao ya Siri unazijuwaje Yani tuma kunguni, Chawa, viroboto, utitiri, panya, kunguni Yani huyo hakuna kulala na ndio formula yaku tawala.
Ona sasa ona sasa wanakuletea mamiradi ya ajabu wanajuwa huyu ni muugwana tena amefunga hao wakimbie kama ukoma... Wanakusifia wakiwa namabisu nyuma ya mgongo.. sisi Maraia tunaona na ukiuliza kila mtu atasema hapa Kuna shida na shida ipo kwa hawa sio huyu.
Ingekuwa mm sikubali Yani ukiniletea upuuzi kwenye meza ya jamuhuri kabla hujafika ofisini nahakikisha unawashwa tu na isitoshe nakutumia panya na ma snichi wakutosha nikimaliza nakutengua usiku mnene hakuna kucheka na mtu
Nawatakia Mfungo mwema.
 
Mleta bado ni mojawapo ya watu wajinga sana
Jamaa kazikwa lakini watu wake bado wako usingizini wanaota.....hawaamini sheria, wanakuja humu kuandika "taifa linaongozwa na mkono wa chuma", hajui taifa linaongozwa na sheria, sio mikono sijui ya nini.

Kama una mikono ya chuma kaombe kazi TRC ushughulike na mataruma ya reli.

Hata kuandika hujui, mbw wewe
 
Back
Top Bottom