Hakuna kitu kinaitwa uungwana au huruma katika kuongoza Taifa

Serikali zenye akili haziui raia wake wanaotaka maendeleo ya kweli.
Hakuna serikali ambayo haiui, ukienda kinyume na serikali yoyote ile lazima udhibitiwe.

Freedom has it's limits kama hamjui.
 
Serikali is driven by politicians with wicked brains just like you and me

Serikali is a machinery,only politicians are using its oppression apparatus to settle their personal scores of killing people

Serikali haiui watu,ni watu wanaitumia kuua kwa their personal vendetta,nothing else!
 
Kama Taifa lingeongozwa kwa ungwana na huruma basi Taifa Hilo lazima liwe ktk hali dhoofu na kutowajibika kwa viongozi. Taifa linaongozwa kwa amri na taratibu Taifa linaongozwa kwa codes na nje ya hizo codes tunakula kichwa Taifa haliongozwi kama unavyo mlea mtoto hapana Taifa linaongozwa kwa mkono wa chuma kwa sababu wapo wanakitamani kiti kwahiyo ukikikalia kwa hey u know my friend wanakunyang'anya kiti. Lazima uwe mbabe na uwamini kile una kiamini lazima uwatoe jasho watu sio uwachekee watakupoteza hao lazima ufukuze ubadilishe ukemee Yani hakuna mtu kujiona salama...

Ukiona mtu anakuja ofisini na mikakati mitam na kucheka Cheka Yani mtumie kunguni, Chawa, viroboto mpaka panya Yaani akifika kwenye kiti chake ni kujikuna mwanzo mwisho halafu mwisho unampa nafasi kujitafakari... Ndio wanavyofanya viongozi wenzako Yani mtu anakuchekea Chekea halafu hali za watu wako mbaya bado unampa nafasi anakunywa chai ya Serikali huyo anakupoteza.

Najua hutaki kuwa kama wale ila sio ktk kuongoza Taifa Taifa ni taasisi nyingine kabisa kwasababu kila mtu anakitaka kiti na kama anakitaka hawezi kuwa mwema kwako kiasi Hiko yupo mtu anaweza kuleta mawazo yakijinga kwako ila same anajuwa kama yeye asinge yakubali mtu kama huyu una muachaje kwa mfano ? Kuna wanafiki wengine wanaweza kukusifia ila wana agenda yao ya Siri unazijuwaje Yani tuma kunguni, Chawa, viroboto, utitiri, panya, kunguni Yani huyo hakuna kulala na ndio formula yaku tawala.

Ona sasa wanakuletea mamiradi ya ajabu wanajua huyu ni muugwana tena amefunga hao wakimbie kama ukoma... Wanakusifia wakiwa na mabisu nyuma ya mgongo.. sisi Maraia tunaona na ukiuliza kila mtu atasema hapa Kuna shida na shida ipo kwa hawa sio huyu.

Ingekuwa mimi sikubali yaani ukiniletea upuuzi kwenye meza ya Jamuhuri kabla hujafika ofisini nahakikisha unawashwa tu na isitoshe nakutumia panya na ma snichi wakutosha nikimaliza nakutengua usiku mnene hakuna kucheka na mtu.

Historia ni mwalim mzuri na kamwe tusiache kuisoma. Mzee alikuwa muungwana ila muulize mwembe chai ilivyo mfanya akaita Vyombo vya Habari nakuongea kwa ukali ambapo hakuwahi kuongea namna ile na ndio ikawa mwisho wa Habari za mwembe chai.. kama historia sio mwalim tumuulize muungwana mwingine alie kutana na vuguvugu la wanavyuo mpaka akasema naomba mnisaidie ndio ikawa mwisho wake lile vuguvugu. Unataka niambia wale sio hawa? Ndio hawa fungua macho... Uwone jaman huku nyumba nyumba

Hakuna asie ona hakuna asie tazama ila safari hii notofauti Sana
Nawatakia Mfungo mwema.
Kichwa cha mada yako kinavutia sana, lakini sina hakika kama yaliyoandikwa humo ndani yanakichambua vizuri maneno hayo yaliyomo kwenye kichwa cha habari..
Kwa kujua ulivyo, kutokana na historia yako hapa jukwaani, sikupata muda wa kusoma uliyoandika humo.
 
Jibu nililolipata hapa ni kua humfahamu. Uandishi wake yawezekana ni mbinu ya kimedani tu. Ni vizuri kua na break kidogo hapa jukwaani maana ni ngumu kujua unajibizana na nani.
Hapa jukwaani hatuangalii tunajibizana na nani. Kinachoangaliwa ni hoja na mchango unaoutoa. Wewe ni nani huko kwenu hayo yanakuhusu mwenyewe.

Hoja yako ni michango yako itatuwezesha kufahamu unajua nini, hujui nini.
 
Kama Taifa lingeongozwa kwa ungwana na huruma basi Taifa Hilo lazima liwe ktk hali dhoofu na kutowajibika kwa viongozi. Taifa linaongozwa kwa amri na taratibu Taifa linaongozwa kwa codes na nje ya hizo codes tunakula kichwa Taifa haliongozwi kama unavyo mlea mtoto hapana Taifa linaongozwa kwa mkono wa chuma kwa sababu wapo wanakitamani kiti kwahiyo ukikikalia kwa hey u know my friend wanakunyang'anya kiti. Lazima uwe mbabe na uwamini kile una kiamini lazima uwatoe jasho watu sio uwachekee watakupoteza hao lazima ufukuze ubadilishe ukemee Yani hakuna mtu kujiona salama...

Ukiona mtu anakuja ofisini na mikakati mitam na kucheka Cheka Yani mtumie kunguni, Chawa, viroboto mpaka panya Yaani akifika kwenye kiti chake ni kujikuna mwanzo mwisho halafu mwisho unampa nafasi kujitafakari... Ndio wanavyofanya viongozi wenzako Yani mtu anakuchekea Chekea halafu hali za watu wako mbaya bado unampa nafasi anakunywa chai ya Serikali huyo anakupoteza.

Najua hutaki kuwa kama wale ila sio ktk kuongoza Taifa Taifa ni taasisi nyingine kabisa kwasababu kila mtu anakitaka kiti na kama anakitaka hawezi kuwa mwema kwako kiasi Hiko yupo mtu anaweza kuleta mawazo yakijinga kwako ila same anajuwa kama yeye asinge yakubali mtu kama huyu una muachaje kwa mfano ? Kuna wanafiki wengine wanaweza kukusifia ila wana agenda yao ya Siri unazijuwaje Yani tuma kunguni, Chawa, viroboto, utitiri, panya, kunguni Yani huyo hakuna kulala na ndio formula yaku tawala.

Ona sasa wanakuletea mamiradi ya ajabu wanajua huyu ni muugwana tena amefunga hao wakimbie kama ukoma... Wanakusifia wakiwa na mabisu nyuma ya mgongo.. sisi Maraia tunaona na ukiuliza kila mtu atasema hapa Kuna shida na shida ipo kwa hawa sio huyu.

Ingekuwa mimi sikubali yaani ukiniletea upuuzi kwenye meza ya Jamuhuri kabla hujafika ofisini nahakikisha unawashwa tu na isitoshe nakutumia panya na ma snichi wakutosha nikimaliza nakutengua usiku mnene hakuna kucheka na mtu.

Historia ni mwalim mzuri na kamwe tusiache kuisoma. Mzee alikuwa muungwana ila muulize mwembe chai ilivyo mfanya akaita Vyombo vya Habari nakuongea kwa ukali ambapo hakuwahi kuongea namna ile na ndio ikawa mwisho wa Habari za mwembe chai.. kama historia sio mwalim tumuulize muungwana mwingine alie kutana na vuguvugu la wanavyuo mpaka akasema naomba mnisaidie ndio ikawa mwisho wake lile vuguvugu. Unataka niambia wale sio hawa? Ndio hawa fungua macho... Uwone jaman huku nyumba nyumba

Hakuna asie ona hakuna asie tazama ila safari hii notofauti Sana
Nawatakia Mfungo mwema.
Yaani unaamnisha hakukuwa na haja ya wazee wetu kupigana ili Nchi ijitawale? Mantiki yako iko wapi? Huruma haitakiwi? Wewe si Bure umelewa shibe
 
Back
Top Bottom