Hakuna kitu kinaitwa uungwana au huruma katika kuongoza Taifa

Serikali zenye akili haziui raia wake wanaotaka maendeleo ya kweli.
Hakuna serikali ambayo haiui, ukienda kinyume na serikali yoyote ile lazima udhibitiwe.

Freedom has it's limits kama hamjui.
 
Hakuna serikali ambayo haiui, ukienda kinyume na serikali yoyote ile lazima udhibitiwe.

Freedom has it's limits kama hamjui.
Serikali is driven by politicians with wicked brains just like you and me

Serikali is a machinery,only politicians are using its oppression apparatus to settle their personal scores of killing people

Serikali haiui watu,ni watu wanaitumia kuua kwa their personal vendetta,nothing else!
 
Kichwa cha mada yako kinavutia sana, lakini sina hakika kama yaliyoandikwa humo ndani yanakichambua vizuri maneno hayo yaliyomo kwenye kichwa cha habari..
Kwa kujua ulivyo, kutokana na historia yako hapa jukwaani, sikupata muda wa kusoma uliyoandika humo.
 
Jibu nililolipata hapa ni kua humfahamu. Uandishi wake yawezekana ni mbinu ya kimedani tu. Ni vizuri kua na break kidogo hapa jukwaani maana ni ngumu kujua unajibizana na nani.
Hapa jukwaani hatuangalii tunajibizana na nani. Kinachoangaliwa ni hoja na mchango unaoutoa. Wewe ni nani huko kwenu hayo yanakuhusu mwenyewe.

Hoja yako ni michango yako itatuwezesha kufahamu unajua nini, hujui nini.
 
Yaani unaamnisha hakukuwa na haja ya wazee wetu kupigana ili Nchi ijitawale? Mantiki yako iko wapi? Huruma haitakiwi? Wewe si Bure umelewa shibe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…