Hakuna kitu kinanyima raha kama kuzaliwa peke yako

Hakuna kitu kinanyima raha kama kuzaliwa peke yako

Nyamwi255

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2022
Posts
4,848
Reaction score
12,776
Hakuna kitu kinaninyima raha maishani kama kuzaliwa peke angu kwenye tumbo Moja🥺
Najua ni mipango ya Mungu ila huwa naumia sana.

Natamani ningekuwa na ndugu wa damu hasa wa kike wa kushare nae mambo yangu binafsi kwenye shida na raha kwa sababu Kuna mambo ambayo kabla mtu huja share na mzazi au mwenza wako ni lazima umhusishe ndungu yako, ila ndo hivo ndugu niliyenae ni mmoja na ni wa kiume ni mtoto wa baba.

Huwa nawaza pindi Mungu akiwachukua wazazi nitaishi vipi?
Namuomba sana Mungu anipe uzao I hope wanangu watakuwa ndugu zangu🥺
Naandika haya nikiwa na masikitiko makubwa sababu Kuna jambo linanitatiza hapa ila ndugu wa ku share nae Sina.
Dah!
 
Back
Top Bottom