Hakuna kitu kinanyima raha kama kuzaliwa peke yako

Hakuna kitu kinanyima raha kama kuzaliwa peke yako

Ndo maana mie nataka kuongeza watoto wawili....maana hawa wawili kike na kiume nao wakikua wataanza mdomo pia eti natamani tungekuwa wakaka wawili au wadada wawili....
Kama una uzao zaa tu ndugu yangu.
 
Kuzaliwa na ndugu sio ishu hiyo. Mimi nina ndugu wengi na hata hatuna ushirikiana yaan kila mtu na mambo yake. Muombe Mungu akupe watu sahihi katika maisha yako. Ndugu unawezakuwa nao na hawana faida yeyote
Umenena vyema
 
Wengi sanaa wawili! Ndio maana napenda kuolewa na single faza nimkute na watoto tayari ili asiniambie habari za kuzaa watoto 6
Wachache sana bn! Mi ntakaemuoa ajiandae kuprint 5++ Kuna Raha ya kua na watoto
 
Sisi kwetu tupo wazaliwa 2 yaani Dah mtu mimi na kaka yangu nasema tu asante Mungu.japo sometyms I wish ngekuwa na dada hata saba
 
Back
Top Bottom