KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Usiwalaumu sanaHakuna kitu kinaninyima Raha maishani kama kuzaliwa peke angu kwenye tumbo Moja🥺
Najua ni mipango ya mungu ila huwa naumia sana
Natamani ningekuwa na ndugu wa Damu hasa wa kike Wa kushare nae mambo yangu binafsi kwenye shida na raha kwa sababu Kuna mambo ambayo kabla mtu huja-share na mzazi au mwenza wako ni lazima umhusishe ndungu yaki., ila ndo hivo ndugu niliyenae ni mmoja na ni wa kiume (ni mtoto wa baba.
Huwa nawaza pindi mungu akiwachukua wazazi nitaishi vipi?
Namuomba sana mungu ANIPE uzao I hope wanangu watakuwa ndugu zangu🥺
Naandika haya nikiwa na masikitiko makubwa coz Kuna jambo linanitatiza hapa ila ndugu wa ku share nae Sina.
Dah!
Unajua walipitia changamoto gani?
Nilidhani yatima kumbe sio
Ushakua anza kuzaa zaa kwa wingi