Kuna nini@Shunie
Sakayo
Raynavero
Dinazarde
Miss Natafuta
Hao nliowataja wote ni wadada members msiwaogope pamoja na kuwa kwao active.
Ila kwa kauli yako ina ukweli pia hasa hawa wadada wanaoingia na kujifanya wanatafuta wachumba wengi ni madume wenzenu kama Giree
Eti wewe MeKuna nini
Kuna mtu anasema asilimia kubwa humu sisi ni wanaume, na wengi huwa wanajibebisha id mbili zinajifanya kujibebisha kumbe ni mojaSijaelewa hata ndio nimepata tag yako
Sijui kalewaEti wewe Me
Itakua [emoji23][emoji23]Sijui kalewa
Eti wewe Me
Kuna mtu anasema asilimia kubwa humu sisi ni wanaume, na wengi huwa wanajibebisha id mbili zinajifanya kujibebisha kumbe ni moja
Sijui kalewa
Kwahiyo sisi ni madume na tuko na madyudyu kwahiyo mbebez wangu tunakulanaje sasa kama wote meItakua [emoji23][emoji23]
Eti wamesema mnageuzanaKwahiyo sisi ni madume na tuko na madyudyu kwahiyo mbebez wangu tunakulanaje sasa kama wote me
Mnajifanyishaga tu haswa nyie maarufu wa humuKwahiyo sisi ni madume na tuko na madyudyu kwahiyo mbebez wangu tunakulanaje sasa kama wote me
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnajifanyishaga tu haswa nyie maarufu wa humu
Tumekubali wala hatujakataa we cheka wakati nawe ni dume namba moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha.we mzembe sana eti kuna kitu kinakuuma? Basi uwe unashinda jukwaa la Garage kule Intelligence
Eti wamesema mnageuzana
Mnajifanyishaga tu haswa nyie maarufu wa humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Semeni kweli jamani ujue huu uzi sijausoma kabisa najibu tu qoute zenu naona una post nyingi sanaTumekubali wala hatujakataa we cheka wakati nawe ni dume namba moja
jamani i mean`t to loose him hope,i was never mean`t to be a witch to you love!Ukiendelea hivi ukizeeka utakuwa umeadvance kwenye uchawi
Ndio Unasema hivyo, kuna mtu kaleta Mada katikati ya uzi nyie nami nikiwemo ni wanaumeSemeni kweli jamani ujue huu uzi sijausoma kabisa najibu tu qoute zenu naona una post nyingi sana
Eeenh tumetajwa kabisa majina ebu ngoja nianze kusomaNdio Unasema hivyo, kuna mtu kaleta Mada katikati ya uzi nyie nami nikiwemo ni wanaume
Mzigua ndio katutajaEeenh tumetajwa kabisa majina ebu ngoja nianze kusoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hutaki wengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzigua ndio katutaja