Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Unatakiwa kwanza ujiamini hizo mambo unazoanza nazo ni uwogaHivi ipo siku mm nitapata msichana humu jf hata wa kuchat nae pm..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatakiwa kwanza ujiamini hizo mambo unazoanza nazo ni uwogaHivi ipo siku mm nitapata msichana humu jf hata wa kuchat nae pm..?
Tunatosha bwana. Njoo tule vyupa vya kijani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hutaki wengine
Halaf we mbona hujajiweka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mfyuuuuuu kwahiyo sisi wengine vidumeAcha nao mkuu maana mimi najua Mzigua ndo mwanamke wengine wote madume.
VumiliaMimi Mzigua nampenda sema ana wengi humu ndicho kinachonishinda.
Kwahiyo mzigua anabishana nao kuwa sisi ni wadadaMzigua ndio katutaja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kanichekesha sanaTunatosha bwana. Njoo tule vyupa vya kijani
Kawakubalia kwanini uongo si kasema kweliKwahiyo mzigua anabishana nao kuwa sisi ni wadada
Hii michezo imejaa mnoo....kuna wawili ni vinara wa huu mchezo wa kujipigia promo kwa ID tofauti! ( ni mademu na nawajua live)Ngoja nikisie
Nyingine wanafungua uzi na id nyingine feki kujifanya imemzimia.
(kujifanyia promotion)
Yaan angewaacha tuKawakubalia kwanini uongo si kasema kweli
Wit nimekuhamu mie shikamooHii michezo imejaa mnoo....kuna wawili ni vinara wa huu mchezo wa kujipigia promo kwa ID tofauti! ( ni mademu na nawajua live)
Haaahaaa...humu kuna vituko
Marahaba mwanangu!....me too cuteWit nimekuhamu mie shikamoo
Hao vinara jamani kwahiyo tunachangia kumbe anatuchora babeMarahaba mwanangu!....me too cute
Ndo maanake shost...kujipigia promo za kindeziHao vinara jamani kwahiyo tunachangia kumbe anatuchora babe
Sasa huo si ujinga jamani hivi mtu unaanzaje hizo mamboNdo maanake shost...kujipigia promo za kindezi
Basi nawaona then nasema hiiii
Haaahaaa...we kama huwezi wengine wanaweza shogaSasa huo si ujinga jamani hivi mtu unaanzaje hizo mambo
Mi jinsia ya katikatiHalaf we mbona hujajiweka