Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,023
Ahaaaaaaaaaaa wapi pambana kaka!.Taja mbinu bob tuwakamate hao
HahahaaAhaaaaaaaaaaa wapi pambana kaka!.
Kuna wengine wanajichatisha humu .
I'd moja anakuwa garl nyingine anakuwa boy.
Wanaofanya mchezo huo wengi ni washkaji tu. Hawana channel
HapanaHahahaa
Ni ukosefu wa kazi au shda za homoni?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hapana
Hao naowajua wanafanya hivyo
-Kupata mademu
-kuwa kwangu wapenda ngono
-As funny kupunguza stress za VYUMA.
Mimi najua sana tu.Naona Bado ujaelewa swali langu!
Kwa privacy za Jf SIWEZI kuwataja na itakuwa siyo uanaume!.
Kuna siku nilizungumzia kitu hiki.
Mods walinipa bann then wakafuta Na zile comments!!.
Narudia tena!..asilimia kubwa ya I'd fake za Kike ni majanaume!.
Tena unajua wanatumia mbinu Gani?
yamekkta mkuuAcha nitiririke moja kwa moja.
Ni hivi imetokea umeanzisha ukaribu na dem humu JF ukawa unajikomba komba lakini kwa bahati mbaya unaona kama vile hakuchangamkii.
Kibaya zaidi mara paaa unaona dem kamuanzishia mshikaji uzi wa kumpenda hapo ndo utajua kwamba 'Zanzibar ina Rais ila Tanganyika haina na yote ni Tanzania'.
Kwa hiyo dada zangu nawaomba humu, ukiniona mimi najipendekeza kwako kubali japo kwa kunidanganya ili upate nafasi ya kunichuna.
Naona kuna watu hajanielewa, ni hivi kwa mfano unampenda Demiss halafu unamkuta kaanzisha uzi wa Mr Tunguli moyo wako unajisikiaje?
Na ndio maana unakuta mtu anaandamwa na ma I'd mapya mapya kila siku, kumbe kisa kupendwa. Niwatakie mfungo mwema kwa wale wafungao.
Kwa uliyoyaandika ingependeza zaid kama ungekuwemo toka "majuzi".Nasikitika kukuambia nipo humu tokea jana usiku mkuu
yaan boy mzma anakua na id ya kike akitongozwa nae anafurahiUnapendaje I'd fake?
Kwanza wengine ni wanaume wanatumia I'd za Kike kupata mabwege
Kuna wadau zangu nawahifadhi humu jukwaani ni majanaume shababy,.lakin jf wanatumia I'd za Kike tena ni active!.
Halafu kuna wengine wanajichatisha
I'd moja garl nyingine boy
Hapo atajitongozesha mwenyewe!.
Binafsi ukisema ufatilie/upate ety mwenza Jf hapo umeumia
Kwanza sifa KUU ya member ni KUTOAMINIANA
Tiririka tyu ikibidi na kumiminika umiminike.kidogo kidogo tyu watakuelewaAcha nitiririke moja kwa moja.
Ni hivi imetokea umeanzisha ukaribu na dem humu JF ukawa unajikomba komba lakini kwa bahati mbaya unaona kama vile hakuchangamkii.
Kibaya zaidi mara paaa unaona dem kamuanzishia mshikaji uzi wa kumpenda hapo ndo utajua kwamba 'Zanzibar ina Rais ila Tanganyika haina na yote ni Tanzania'.
Kwa hiyo dada zangu nawaomba humu, ukiniona mimi najipendekeza kwako kubali japo kwa kunidanganya ili upate nafasi ya kunichuna.
Naona kuna watu hajanielewa, ni hivi kwa mfano unampenda Demiss halafu unamkuta kaanzisha uzi wa Mr Tunguli moyo wako unajisikiaje?
Na ndio maana unakuta mtu anaandamwa na ma I'd mapya mapya kila siku, kumbe kisa kupendwa. Niwatakie mfungo mwema kwa wale wafungao.
Uko sahihhi majuzi nliona mtu humu anajichatisha eti anaiambia id nyingine nakupenda sana,wewe ni mwanamke una akili na jasiri,ikabidi niicheck posts za ile id mpya mwe mwe nikagundua ni mwenyewe halafu huyo mtu mwenyewe ni kilaza kichwa box nlicheka sanaUnapendaje I'd fake?
Kwanza wengine ni wanaume wanatumia I'd za Kike kupata mabwege
Kuna wadau zangu nawahifadhi humu jukwaani ni majanaume shababy,.lakin jf wanatumia I'd za Kike tena ni active!.
Halafu kuna wengine wanajichatisha
I'd moja garl nyingine boy
Hapo atajitongozesha mwenyewe!.
Binafsi ukisema ufatilie/upate ety mwenza Jf hapo umeumia
Kwanza sifa KUU ya member ni KUTOAMINIANA
ulijuaje ndiyo yeye mkuu?Uko sahihhi majuzi nliona mtu humu anajichatisha eti anaiambia id nyingine nakupenda sana,wewe ni mwanamke una akili na jasiri,ikabidi niicheck posts za ile id mpya mwe mwe nikagundua ni mwenyewe halafu huyo mtu mwenyewe ni kilaza kichwa box nlicheka sana
Hapana mkuu naburudisha tu maana leo nimeamka vizuri.yamekkta mkuu
Hapana mkuu hapa naona naburudika tu mambo yote namalizia fb messenger. Wa huku nawaachia Mshana Jr.Tiririka tyu ikibidi na kumiminika umiminike.kidogo kidogo tyu watakuelewa
Mimi nawachangamkia wa fb ndiko ninakowakamata.Anza wewe kuwachangamkia mkuu.
Mkuu hata humu unaweza.Anza kuwatajataja wale maarufu utaona unavyochangamkiwa siku zijazo.Mimi nawachangamkia wa fb ndiko ninakowakamata.
Ngoja nikisieMbinu zao ni kama ifuatavyo!.
Huwa wanakuwa active ili kupata attention
Sasa unakuta Wanatengeneza ukaribu Na wanawake wenyewe..ili kupata namba Na mawasiliano!
Asilimia kubwa ya mademu wa Jf wameliwa kwa stahili hiyo.
Unadhan garl mwenzako anaku Pm mnafikishan mpaka kwenye kupeana namba Na kutumiana pics. Hapo ndipo kuna assist!
Hii nyingine SIWEZI itaja maana nitawaumbua
Ila poleni woteeee mnaopata wivu