Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Wivu ni kidonda mkuu!! Ishi maisha yako, km una damu km yetu we vunga tu, kupendwa utapendwa hata na mama nyumbani inatosha!! Usifosi damu ya waarabu wa kipemba upate kujulikana kwa kilemba hali una damu ya kunguni..

Ni hayo tuu mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naona Bado ujaelewa swali langu!
Kwa privacy za Jf SIWEZI kuwataja na itakuwa siyo uanaume!.
Kuna siku nilizungumzia kitu hiki.
Mods walinipa bann then wakafuta Na zile comments!!.

Narudia tena!..asilimia kubwa ya I'd fake za Kike ni majanaume!.

Tena unajua wanatumia mbinu Gani?
Mimi najua sana tu.
 
Acha nitiririke moja kwa moja.
Ni hivi imetokea umeanzisha ukaribu na dem humu JF ukawa unajikomba komba lakini kwa bahati mbaya unaona kama vile hakuchangamkii.
Kibaya zaidi mara paaa unaona dem kamuanzishia mshikaji uzi wa kumpenda hapo ndo utajua kwamba 'Zanzibar ina Rais ila Tanganyika haina na yote ni Tanzania'.

Kwa hiyo dada zangu nawaomba humu, ukiniona mimi najipendekeza kwako kubali japo kwa kunidanganya ili upate nafasi ya kunichuna.
Naona kuna watu hajanielewa, ni hivi kwa mfano unampenda Demiss halafu unamkuta kaanzisha uzi wa Mr Tunguli moyo wako unajisikiaje?
Na ndio maana unakuta mtu anaandamwa na ma I'd mapya mapya kila siku, kumbe kisa kupendwa. Niwatakie mfungo mwema kwa wale wafungao.
yamekkta mkuu
 
Unapendaje I'd fake?
Kwanza wengine ni wanaume wanatumia I'd za Kike kupata mabwege
Kuna wadau zangu nawahifadhi humu jukwaani ni majanaume shababy,.lakin jf wanatumia I'd za Kike tena ni active!.

Halafu kuna wengine wanajichatisha
I'd moja garl nyingine boy
Hapo atajitongozesha mwenyewe!.

Binafsi ukisema ufatilie/upate ety mwenza Jf hapo umeumia
Kwanza sifa KUU ya member ni KUTOAMINIANA
yaan boy mzma anakua na id ya kike akitongozwa nae anafurahi
 
Acha nitiririke moja kwa moja.
Ni hivi imetokea umeanzisha ukaribu na dem humu JF ukawa unajikomba komba lakini kwa bahati mbaya unaona kama vile hakuchangamkii.
Kibaya zaidi mara paaa unaona dem kamuanzishia mshikaji uzi wa kumpenda hapo ndo utajua kwamba 'Zanzibar ina Rais ila Tanganyika haina na yote ni Tanzania'.

Kwa hiyo dada zangu nawaomba humu, ukiniona mimi najipendekeza kwako kubali japo kwa kunidanganya ili upate nafasi ya kunichuna.
Naona kuna watu hajanielewa, ni hivi kwa mfano unampenda Demiss halafu unamkuta kaanzisha uzi wa Mr Tunguli moyo wako unajisikiaje?
Na ndio maana unakuta mtu anaandamwa na ma I'd mapya mapya kila siku, kumbe kisa kupendwa. Niwatakie mfungo mwema kwa wale wafungao.
Tiririka tyu ikibidi na kumiminika umiminike.kidogo kidogo tyu watakuelewa
 
Unapendaje I'd fake?
Kwanza wengine ni wanaume wanatumia I'd za Kike kupata mabwege
Kuna wadau zangu nawahifadhi humu jukwaani ni majanaume shababy,.lakin jf wanatumia I'd za Kike tena ni active!.

Halafu kuna wengine wanajichatisha
I'd moja garl nyingine boy
Hapo atajitongozesha mwenyewe!.

Binafsi ukisema ufatilie/upate ety mwenza Jf hapo umeumia
Kwanza sifa KUU ya member ni KUTOAMINIANA
Uko sahihhi majuzi nliona mtu humu anajichatisha eti anaiambia id nyingine nakupenda sana,wewe ni mwanamke una akili na jasiri,ikabidi niicheck posts za ile id mpya mwe mwe nikagundua ni mwenyewe halafu huyo mtu mwenyewe ni kilaza kichwa box nlicheka sana
 
ulijuaje ndiyo yeye mkuu?
 
Mbinu zao ni kama ifuatavyo!.
Huwa wanakuwa active ili kupata attention
Sasa unakuta Wanatengeneza ukaribu Na wanawake wenyewe..ili kupata namba Na mawasiliano!
Asilimia kubwa ya mademu wa Jf wameliwa kwa stahili hiyo.
Unadhan garl mwenzako anaku Pm mnafikishan mpaka kwenye kupeana namba Na kutumiana pics. Hapo ndipo kuna assist!

Hii nyingine SIWEZI itaja maana nitawaumbua
Ila poleni woteeee mnaopata wivu
Ngoja nikisie
Nyingine wanafungua uzi na id nyingine feki kujifanya imemzimia.
(kujifanyia promotion)
 
Back
Top Bottom