Hakuna kitu kinauma kama kujua ukweli baada ya kudanganywa kwa muda mrefu

Hakuna kitu kinauma kama kujua ukweli baada ya kudanganywa kwa muda mrefu

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,232
Reaction score
4,927
Hamjambo wanaJF! Mimi niko sawa.

Ushawahi kudanganywa? Mmepeana na miadi na demu afu badae anadai "kuna wageni wamekuja sitakuja tena leo".

Unamdai mtu deni lako ananizungusha kila siku unakuja kukutana nae baa anamwaga bia unajiskiaje?

Watanzania wengi tuliamini hakuna tena ufisadi nchini, kiboko ya mafisadi kaja. Sasa mbona kipindi cha mafisadi ndio pesa ilikua inaonekana mtaani?

Ikafika hatua ya watu kusema bora wezi waendelee tu mana tunaiona pesa mtaani. Kumbe wizi ulikuepo lakini ulikuwa umefichwa.

Jana tu JPM kashushwa sana vyeo, nawaza yale magazeti yaliokua yanampamba kurasa za mbele kwa miradi kumbe ilikua fake tu.

Dkt Abbas anaweka wapi sura yake kwa sasa? Yale magazeti uchwara nayo yanathubutu kuandika hii hasara ya ATCL?
 
Back
Top Bottom