Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,898
- 40,547
Ah mama.Tanzania yetu..
Ah mama.Tanzania yetu..
Sio kupotezea, sema kuwa wa Tz ni wavivu wa kifikir, wabinafsi, waoga(tunaogopa kutengwa na wenzetu kwa kuoji matumiz ya resources zetu), wepes wa kukubar kila kitu bila kukipima kwa undani zaidi, wafata mkumbo, washabiki wa vyama vya siasa na sio wazarendo.Tumepigwa Sana sema wa tz ss ni watu wa kupotezea tu
Mimi naamini tulipigwa sana kuliko wakati wa JK sema JK alikua muwazi kuliko huyu anaeficha taarifa ili asichafuliweNao wanaangalia matumbo na familia zao tu hakuna wakusema ukwel wala kukosoa ata kama ataona makosa yanafanyika mbele yake atayapigia makofi na vigeregere ili aendelee kufaidika
Ndio vizuri ili kama ni adhabu huko ziende sambamba.Ila wamewai sana kuonesha madhaifu yake
Mkuu jiulize mtu huyo huyo alitaka kuongeza muda,hivi ingekuwaje?Mkuu me nawalaumu sana nyinyi mliokuwa mnaamini.
Tuliongea sana humu tukaonekana sio wazalendo, tunatumika na mabeberu, mkaenda zaidi kwamba "tunasupport ushoga".
"Tumechezewa sana ndugu zangu! Mwendazake Ametuchelewesha mno".
Ndo maana mungu kamchukua mapema aliona kinachofuata ni niniMkuu jiulize mtu huyo huyo alitaka kuongeza muda,hivi ingekuwaje?
Naanza kuelewa ni kwanini alisema kuna watu wataishi kama mashetani kumbe alijua katubana wap
Ni bora zisiwepo kuliko kuwepo halafu zinatia hasaraSawa tumepigwa ila ndege tumeziona hasa kipindi cha nyuma mbona tulipigwa pesa nyingi na ndege zenyewe hatukuziona
kuna kipindi tbc cha kishndo cha awamu ya 5. Tafta youtube andka utakutana nacho.Kivip tena
Lakini Bunge mwaka 2018 lilisema ATCL kuna hasara kubwa, propaganda za kijinga zikaja kwamba wana faida na kutoa ruzuku serikalini. UJINGA MTUPUHamjambo wanaJF! Mimi niko sawa.
Ushawahi kudanganywa? Mmepeana na miadi na demu afu badae anadai "kuna wageni wamekuja sitakuja tena leo"
Unamdai mtu deni lako ananizungusha kila siku unakuja kukutana nae baa anamwaga bia unajiskiaje?
Watanzania wengi tuliamini hakuna tena ufisadi nchini, kiboko ya mafisadi kaja. Sa mbona kipindi cha mafisadi ndio pesa ilikua inaonekana mtaani?
Ikafika hatua ya watu kusema bora wezi waendelee tu mana tunaiona pesa mtaani. Kumbe wizi ulikuepo lakini ulikuwa umefichwa.
Jana tu JPM kashushwa sana vyeo, nawaza yale magazeti yaliokua yanampamba kurasa za mbele kwa miradi kumbe ilikua fake tu.
Dkt Abbas anaweka wapi sura yake kwa sasa? Yale magazeti uchwara nayo yanathubutu kuandika hii hasara ya ATCL?